Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, mara nyingi wapya ndo huwa tatizo
au mwingine mwaweza mlikuwa mnafahamiana
lakini hamkuwa karibu sana
mkianza kuwa karibu waweza feel kitu
japo huwa siamini ni 'love'
its kind of a 'lust'
Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...
Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
umesema kweli asilimia ni chini ya tano kwa wale niliokutana nao nakuwaona ni marafiki wengi pamoja na urafiki huwa wanawaza na mengine niwewe kuweka mipaka kwenye yale unayoona hayakupendezi baada ya muda wanakuelewa misimamo yako .
Yeahh most of the time ni tamaa tu. Kma ni mapenzi yangejitokeza kabla hujajimwaga kwa mtu mwingine na sio baada.
Hahahaha wivu mbona hata wanaume wanao bana?yeah...
Ila nadhani wanawake ndiyo chanzo cha yote..yaani ujust a friend kufa.. Wivu unawasumbua...
Mapenzi hamna..lakini unashangaa lust inapotokea..
hata wanawake
kuna point unamtamani rafiki
hata kama unaipotezea ila umeshamtamani
si wanamme peke yao
Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...
Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
there is always a deep love between good friend which does not necessary end up in romance.
some friends are very hard to find
hutaki kuwapoteza kabisa
sema hata kama ni rafiki wa kiasi gani
lazima uoneshe msimamo wako
kama wa hapana weka clear boundary
kama wa ndio haya napo twende kazi
na wote hao hakuna aliekupa 'signal' kuwa
anataka muende the next step?
kwani flirts sio mwanzo wa next step????lol
ninaomba huo mfano
uni pm kwanza kabla haujaletwa hapa please...
Not neccessarily. Kwa wale walio single ni namna tu ya kupitisha muda na kupata kicheko na tabasamu la hapa na pale...SIO WOTE.
kwani flirts sio mwanzo wa next step????lol