Just a friend na matatizo yake.....

...dahh, hapana bana...kwenye mambo haya lazima kuzisoma na kuzingatia
signals bana...otherwise utaishia kuharibu zipu tu...mara ushushe mara upandishe..

...can you share a bed na female friend bila kumsumbua sumbua?...hebu nambie ukweli.

a bed? nope...lol
 
Reactions: Mbu
Exactly, very true for singozi
albam, ???!!!

Hahaha album wakiflirt nje ya studio zao wanatafuta excitement on the wrong place. Badala ya kuwasha moto kwao wanaenda washa mishumaa kwa jirani.
 
Kwenye tamthilia inawezekana
lakini sio kwenye haya maisha ya kawaida

...dahh, hapana bana...kwenye mambo haya lazima kuzisoma na kuzingatia
signals bana...otherwise utaishia kuharibu zipu tu...mara ushushe mara upandishe..

...can you share a bed na female friend bila kumsumbua sumbua?...hebu nambie ukweli.
 
wajue wanacheat 100%
bila chenga

Hahaha album wakiflirt nje ya studio zao wanatafuta excitement on the wrong place. Badala ya kuwasha moto kwao wanaenda washa mishumaa kwa jirani.
 
kwa sababu viungo vinafanya kazi
na mnaitikia vichocheo
tena kama mmekula na kushiba ndo hala hala
dont try that hotelini

pia mkiwa below 26 mnaweza
sababu vichwa vinakuwa na tamthilia 90%

sasa nina miaka 42
nimnyime mwenzangu nini?
Hata asipotumia yeye
kuna mwingine atatumia tu

kuna msemo huu
'majirani hawafichani makalio'
si ndo mnaosaidiana wakati wa shida na raha!

...kwanini haiwezekani?...
 
Usipende kujaribu kina kwa mguu wako
siku moja waweza juta

Tayari mbona, bado nilikua sijasikia hii maneno ya 'haiwezekani' 'haiwezekani' kwahiyo nilikua najua ni kawaida tu.
 
Uzoefu wangu ni kuwa...Inawezekana kutegemeana na ukaribu ambao upo baina yenu,ni nini mnazungumza na uwazi uliopo baina yenu....na kama kuna commitment fulani ambazo mmoja wenu anazo ambazo upande wa pili lazima aziheshimu....kuumia inawezekana kwa kweli,mfano best friend wako kaoa na unafurahia jinsi anavyomtunza mke wake,lazima ka wivu katakuwepo hata kama hakuna kitakachoendelea baada ya huo wivu....yamekushinda naona The Boss....lol
 
wewe hayajakushinda bado?
utaumia ki chini chini hadi lini?
niambie tu ukweli labda na mimi ni hivyo hivyo lol
 
wewe hayajakushinda bado?
utaumia ki chini chini hadi lini?
niambie tu ukweli labda na mimi ni hivyo hivyo lol

Lol, i have this feminine ego...sasa kama huyo anayekuumiza hawezi kuwa wako kuna haja gani ya kumwambia?

Unakubali tu ukweli,unajifunza kwa mazuri yao,maisha yanaendelea....ukilazimisha mambo ndo mwanzo wa aibu na majuto....!

Ukweli upi zaidi uambiwe, ukiambiwa ukweli huonekani....lol
 
hebu niambie sasa
yoote uliyoyaficha moyoni lol
leo nipo kwa ajili yako lol
 
shauri yako
kuna siku utakutana na jentroman
afu utaipata fresh

Tayari mbona, bado nilikua sijasikia hii maneno ya 'haiwezekani' 'haiwezekani' kwahiyo nilikua najua ni kawaida tu.
 
hebu niambie sasa
yoote uliyoyaficha moyoni lol
leo nipo kwa ajili yako lol

Possibility ya ukweli wa moyo wangu kuwa na matunda yenye furaha ni kiasi gani???

My fragile heart doesn't have a place for new dissapointments....lol
 
Possibility ya ukweli wa moyo wangu kuwa na matunda yenye furaha ni kiasi gani???

My fragile heart doesn't have a place for new dissapointments....lol

what is life if not a risk?
anything that is good enough to take a risk for it is not worth it

so we funguka tu kwaanza.....lol

usiseme nakimbia,low battery lol
 
what is life if not a risk?
anything that is not risk for is not worth it

so we funguka tu kwaanza.....lol

usiseme nakimbia,low battery lol

ha ha haaaaaaaa mtego....kitu kimoja nina hakika, una akili na uwezo wa kujua nachosita kukisema...so,naomba unijibu tu....:washing:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…