naomba nikujibu kesho
charge sina now...lol
Kama ulivo sema hapo juu, kudevelop hisia kwa rafiki yako sio kosa, na in fact it doesn't change the friendship. Ni what you do with the feeling that will. Kama nitaweza kumeza feelings zangu na kuzisuppress kabisa before they escalate to love basi hakuna ubaya... And I expect the same from him.Uzoefu wangu ni kuwa...Inawezekana kutegemeana na ukaribu ambao upo baina yenu,ni nini mnazungumza na uwazi uliopo baina yenu....na kama kuna commitment fulani ambazo mmoja wenu anazo ambazo upande wa pili lazima aziheshimu....kuumia inawezekana kwa kweli,mfano best friend wako kaoa na unafurahia jinsi anavyomtunza mke wake,lazima ka wivu katakuwepo hata kama hakuna kitakachoendelea baada ya huo wivu....yamekushinda naona The Boss....lol
shauri yako
kuna siku utakutana na jentroman
afu utaipata fresh
oh, sorry...............hukunielewa
nimesema hata zikija for free
unatazama kama zina viwango pia....
unanitisha rafiki, sasa nikija kukutembelea itakuwaje?a bed? nope...lol
Niliandaa harusi ya rafiki yangu saanaaa.......... nilifurahia sana alipopata mwenza. na mpaka sasa yule wife anajua hawa bwana siwawezi, anaishia kusema niwaache tu maana niliwakuta hivyo hivyo, sitawatendea haki nikiwaachanishaHahahaha wivu mbona hata wanaume wanao bana?
Alafu ukiwa na wivu na mtu jichunguze. . .
Nna rafiki yangu nilifahamiana nae akiwa single na recently kapata mtu wala hainiumi, nafurahi nikisikia anafurahia mahusiano yake na yasipoenda vizuri ntasikitika nae.
Jamani soo sweet.Niliandaa harusi ya rafiki yangu saanaaa.......... nilifurahia sana alipopata mwenza. na mpaka sasa yule wife anajua hawa bwana siwawezi, anaishia kusema niwaache tu maana niliwakuta hivyo hivyo, sitawatendea haki nikiwaachanisha
nakubaliana nawe 100%, siyo swala la kukataliana na kuvunja urafiki just like that, unafanya cost benefit analysis ndo unafanya maamuzi. watu huwa ni waelewa sana, hasa kama ni marafiki wa kweli. kuna siku tuliwahi kulijadili hili swala na rafiki yangu na tukakubaliana kabisa kwamba hatutapungukiwa kitu kama hatutaenda next step kwenye urafiki wetu. kweli kila mtu alikuwa na feelings na mwenzake baada ya muda lakini kila mtu alikuwa married, kwa hiyo hakuna future kwa ambalo tungelianzisha. mpaka sasa tupo bomba tusome friends are very hard to find
hutaki kuwapoteza kabisa
sema hata kama ni rafiki wa kiasi gani
lazima uoneshe msimamo wako
kama wa hapana weka clear boundary
kama wa ndio haya napo twende kazi
ni kweli, na wakati mwingine huwa tunatoka wawili tu, tunawaambia leo ni siku yetu.Jamani soo sweet.
Nyie wote wanne mmebahatika kukutana wote waelewa.
I love it!!
My best friend ni mkaka, yaani huyu tumesoma wote, namwambiaga vitu vingi nayeye pia..plus mambo mengine ya maisha..hamna baya lililotokea..birthdays atanipa zawadi mie pia nampa hata tuwe mbali vipi...ana relationship ya muda kweli na mimi pia nadate..kila mtu anamfahamu shemeji wa mwenzie!
Jaribu siku moja kumwambia unataka ulale naye uone atasemaje...
kwa sababu viungo vinafanya kazi
na mnaitikia vichocheo
tena kama mmekula na kushiba ndo hala hala
dont try that hotelini
pia mkiwa below 26 mnaweza
sababu vichwa vinakuwa na tamthilia 90%
sasa nina miaka 42
nimnyime mwenzangu nini?
Hata asipotumia yeye
kuna mwingine atatumia tu
kuna msemo huu
'majirani hawafichani makalio'
si ndo mnaosaidiana wakati wa shida na raha!
"Just a friend" ni kalugha ka kufichia hisia za mahaba kati ya watu ambao bado hawajaweza kufafanua mvuto wa kihisia uliopo kati yao!