Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta?

Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38)

Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu. Unadhani wangempa baraka huyo mtoto?

Pata picha scenario kama hii ingetokea kwa hili Kanisa Katoliki la kisasa na sheria zake za kibabe.
 
Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu. Unadhani wangempa baraka huyo mtoto?
Kwani mapadre wanafanya vipimo vya DNA? Au maamuzi based on rumours?
 
Kwanini siku hizi mapadre wetu wana judge kwa kututazama na macho yao ya nyama?
Fafanua vizuri, kujudge unamaanisha nini?

Kama ni uovu uliowazi lazima wakemee. Hawawezi kukaa kimya mbele ya mambo yanayoharibu jamii
 
Mimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇

▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။|||။ 03:53
 
Ni kifungu kipi cha Canon Law kinawataka mapadre wapokee taarifa za mitaani?
Mkuu nakubaliana na mtoa mada hapa kuwa viongozi wetu wa dini(father) wanapokea zaidi maoni ya watu mtaani.

Nimewahi shuhudia kwenye mkesha wa Xmass mtoto hakubatizwa kisa mama yake alikuwa Hana Mme anaye eleweka (mzinzi)

Si hayo tu mengine yabaki kifuani mwetu kama waumini wa dhehebu letu.
 
Hiyo ni sahihi. Mtoto anabatizwa kwa imani ya mzazi. Kama mzazi amejitenga na Kanisa (excommunicated) ni kipingamizi na mtoto hawezi kubatizwa.
 
Back
Top Bottom