Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kwani mapadre wanafanya vipimo vya DNA? Au maamuzi based on rumours?Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu. Unadhani wangempa baraka huyo mtoto?
Wanapokea taarifa kutoka mitaaniKwani mapadre wanafanya vipimo vya DNA? Au maamuzi based on rumours?
Kwanini siku hizi mapadre wetu wana judge kwa kututazama na macho yao ya nyama?Mambo ya rohoni hayatazamwi kwa macho ya mwili
Ni kifungu kipi cha Canon Law kinawataka mapadre wapokee taarifa za mitaani?Wanapokea taarifa kutoka mitaani
Fafanua vizuri, kujudge unamaanisha nini?Kwanini siku hizi mapadre wetu wana judge kwa kututazama na macho yao ya nyama?
Mkuu nakubaliana na mtoa mada hapa kuwa viongozi wetu wa dini(father) wanapokea zaidi maoni ya watu mtaani.Ni kifungu kipi cha Canon Law kinawataka mapadre wapokee taarifa za mitaani?
Hiyo ni sahihi. Mtoto anabatizwa kwa imani ya mzazi. Kama mzazi amejitenga na Kanisa (excommunicated) ni kipingamizi na mtoto hawezi kubatizwa.Mkuu nakubaliana na mtoa mada hapa kuwa viongozi wetu wa dini(father) wanapokea zaidi maoni ya watu mtaani.
Nimewahi shuhudia kwenye mkesha wa Xmass mtoto hakubatizwa kisa mama yake alikuwa Hana Mme anaye eleweka (mzinzi)
Si hayo tu mengine yabaki kifuani mwetu kama waumini wa dhehebu letu.
Mzazi(Ke) alikuwa mwana jumuiya mwenzetu ila hakuwa na Mme permanentHiyo ni sahihi. Mtoto anabatizwa kwa imani ya mzazi. Kama mzazi amejitenga na Kanisa (excommunicated) ni kipingamizi na mtoto hawezi kubatizwa.
No kutoka hao hao viongozi wa jumuiaWanapokea taarifa kutoka mitaani
Hivyo atabatizwa akiwa mtu mzimaHiyo ni sahihi. Mtoto anabatizwa kwa imani ya mzazi. Kama mzazi amejitenga na Kanisa (excommunicated) ni kipingamizi na mtoto hawezi kubatizwa.
Yeah!Hivyo atabatizwa akiwa mtu mzima
Mungu
Kwani yesu na mungu nani kamuumba mwenzie¿mtoto Yesu