Niwe mkweli nipo na mama yenu namwamsha taratibuuuu!
Just imagine, kisa madaraka Tundu Lissu muda huu amekumbatia Kuta za gerezani kwa kosa la uhaini ili Hali sio muhaini.
Wewe wakili wa serikali na majaji mnasinamia kesi yake mmekumbatia wake ZENU na waume ZENU ili ccm iebdelee kutawala
Nawauliza hivi mnajionaje?
Tatizo kuatalisha Usalama wa Kitaifa sio jambo lenye kuvutia !!!
ni maafa makubwa baada Usalama kuvunjika !!!
Pale Rwanda kwanza aliuwawa Rais wake ndipo Usalama ukateteleka wakafa raia 800,000 lak 8
so sio jambo dogo kutingisha Serikali iwe ya RaisSamia au yoyote mwengine!
Lissu alikuwa kwenye lengo ilo kama Mwenyekiti wa chama cha Siasa kilichotangaza jambo la kukinukisha na kutangaza pia kuzuiya Uchaguzi.!!!!!
Matokea yake ndio aya👇
tumezika watoto wetu pasi na kuumwa !!!
tumezika pia wasio na hatia wakiwemo madaktari nk,
nini unazungumzia kulala na Mkeo ktk janga la kupoteza watu wetu.
Kumbuka wale Mashekh wa uhamsho wamewekwa ndani tangu Rais ni Jakaya kikwete tena muislamu mwenzao kapita rip JPM bado wapo ndani!!!
wamekuja kutoka chini ya Rais Samia Suluhu Hassan piga hesabu miaka mingapi iyo kisa kama ichi kuhatarisha Usalama wa kitaifa!!
wamekaa ndani miaka mingi kiasi baadhi yao wametoka ndani wamekuta wake zao wanawatoto na wanaume wengine!
Weka kumbukumbu Mashekh hawakusababisha vifo wala kuchochea Vifo lkn kosa lao kuonekana alakati zao zinaweza kuja kuligawa Taifa 🫡🫡🫡
Njoo kwa mh Lissu matamko yake yamefanya taifa tuzike wependwa wetu na ma hasara mengine kibao kibao kibao.!!! Ndio kwanza mwaka m1 tu tuone aibu kidogo janga lake kubwaa kwa Taifa,,
Lissu kukoswakoswa kuuwawa ndio kaona walipie watoto wa masikini kwa kulitingisha taifa.🫡🫡
Tumwacheni kwanza si tunasema Lissu anafanana na Nelson Mandela sasa kwanini tunataka atoke!!!
Yule mwamba tumwache japo miaka 14 ili afikie japo nusu miaka ya Nelson Mandela.
Kukaa kwake ndani yumkin pia Serikali inamlinda na visasi
wale tumepoteza wapendwa wetu tukija kuungana kiakili kwapamoja uyo Lissu tutamtafuna nyama tugawane tumbo lile tushavurugwa🫡🫡
mana ngumu kumeza lkn ndio ukweli tunajua Lissu yeye kaficha mke wake Marekani !!!!!!
Lissu kaficha watoto wake Marekani !!!!
kaja yeye km yeye Tanzania na kutangaza kukinukisha tunuke sisi na watoto wetu 🫡🫡🫡
na wamenuka kweli mpaka tumezika!✍️