Just imagine that someone is giving you $3 million for every bad habit you have

Just imagine that someone is giving you $3 million for every bad habit you have

Hapo kwenye uchafu nachukua, ila kwingine siambulii..!

Maana kuosha vyombo, kudeki, na kufua ni kazi ngumu sana kwangu
 
madawa ya kulevya✓
Hakuna hiki kitu kinavumishwa, kwani pombe ukinywa haulewi na kwanini pombe haiitwi dawa ya kulevya sababu serikali inachukua fungu lake kila mtu anapokunywa na ikikutwa unakunywa pombe isiyokua na vibari vya kuiingizia pesa serikali hio pombe inaitwa haramu si ndio sababu haijathibitishwa na mkemia, mamlaka ya chakula, TBS si ndio? Nachukia pombe ila siwachukii walevi mimi kwangu pombe ndio dawa ya kulevya namba 1 na situmii
 
Back
Top Bottom