Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Nilitaka angalia utetezi wa mtuhumiwa na Dk Haule ulivyokuwa strong na issue ya insanity ilivyokuwa.Angalia jinsi mama alivyolalamika kuhusu tabia ya mume wake lkn bado alihukumiwa kunyongwa hadi kufa.Nashangaa hizi bla bla za jana mnavyozipa uzito.
Dk Haule anakwambia kyna wakati alihisi kama anaongea na mti.
Mama Agnes Doris Liundi mama ake na Taji Liundi ambapo babaye ni George Liundi aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa aliachiwa huru miaka kadhaa kwa msamaha wa Rais Nyerere. Inaumiza watoto wao watatu walikufa kwa sumu halafu je Mama naye angenyongwa iwapo adhabu ya kifo ingetimilizwa. Kwa Lulu Elizabeth Michael ngoja tusubirie na tuone..
 
Jikite kwenye defense ya provocation na insanity.Ilidhihirika wazi kwamba Mwamwindi alikutwa na vyote viwili lakni bado akatundikwa.Mama yake alithbitisha jamaa alishapata hayo matatizo ya kurukwa na akili mara mbili toka 1959 na dk aliyemtibu alithbitisha lakin bdo akatiwa hatiani.
Agnes Doris Liundi aliachiwa huru na naamini yupo hai mpaka leo, kesi hizi ngumu lakini justice ilitendeka. Sijui itakuwaje kwa hii kesi ya 2012?
 
Mama Agnes Doris Liundi mama ake na Taji Liundi ambapo babaye ni George Liundi aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa aliachiwa huru miaka kadhaa kwa msamaha wa Rais Nyerere. Inaumiza watoto wao watatu walikufa kwa sumu halafu je Mama naye angenyongwa iwapo adhabu ya kifo ingetimilizwa. Kwa Lulu Elizabeth Michael ngoja tusubirie na tuone..
Nyerere kama binadamu alitumia nguvu yake ya kikatiba kumsamehe huyu mama lakini kwa Mwamwindi ikawa tofauti.
 
Mama Agnes Doris Liundi mama ake na Taji Liundi ambapo babaye ni George Liundi aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa aliachiwa huru miaka kadhaa kwa msamaha wa Rais Nyerere. Inaumiza watoto wao watatu walikufa kwa sumu halafu je Mama naye angenyongwa iwapo adhabu ya kifo ingetimilizwa. Kwa Lulu Elizabeth Michael ngoja tusubirie na tuone..
Wakati huo Liundi alikuwa jaji.
 
Itabidi wamfukue na kupima upya kupata ushahidi kwamba alikuwa mgonjwa.
 
maggid au Maggid Mjengwa ndiye aliyefanyaaliyefanya research kuhusu kesi ya Mwamwindi, lakini hizi blog uchwara zimefanya copy and paste na kubandika mpaka picha alizozitafuta kwa tabu bila hata kumpa credits zake. That's not cool.
 
Agnes Doris Liundi aliachiwa huru na naamini yupo hai mpaka leo, kesi hizi ngumu lakini justice ilitendeka. Sijui itakuwaje kwa hii kesi ya 2012?
Wee jamaa ni muongo.Agnes Doris Liundi alihukumiwa kunyongwa hadi kufa akapata msamaha wa rais Nyerere akatoka.Alifariki tarehe saba january,2017.
 
maggid au Maggid Mjengwa ndiye aliyefanyaaliyefanya research kuhusu kesi ya Mwamwindi, lakini hizi blog uchwara zimefanya copy and paste na kubandika mpaka picha alizozitafuta kwa tabu bila hata kumpa credits zake. That's not cool.
Angeweza kushtaki akawadai fidia.Lakini walichokifanya kimesaidia kuondoa upogo wa uelewa wa ni nini hasa kilichotokea.Naamini camarade Majid Mjengwa hana tatizo nao.
 
maggid hana tatizo, lakini hata mwenyewe hafurahii kwamba anafanya kazi kubwa, wengine wanatereza tu bila kutoa credit. Siyo wampe Pesa, lakini unapotoa habari kwenye blog ya mwingine na kuweka kwako kana kwamba we ndie uliefanya uchunguzi, kwenye fani ya habari na uandishi haikubiliki. Atleast watoe sifa basi.
 
lakini jamaa alikuwa anakula under 18, amuoni kama alikosea nae
 
Wasanii wa bongo wamesha msahau kabisa kanumba, yaani juzi mama kanumba katoka pale mahakama hakuna hata msanii mmoja aliempa lift kina Dr. cheni wamemuacha yule mama ananyeshewa na mvua baada ya kuona hakuna mwenye kumpa attention akaamua kwenda zake kupanda daladala inasikitisha kwa kweli mama kawa mpweke kabisa.
 
Nikivaa viatu vya mama Kanumba havinitoshi kiukweli. Wale marafiki wa marehemu Kanumba hawaonekani mahakamani angalau kumpa joto mama Kanumba . Wakina Patcho Mwamba wakina Ray, Mtitu etc hawaonekani. Naomba tu haki itendeke sheria ichukue mkondo wake. Justice for Kanumba!!!
 
Mange naye huko Insta na Justice for Kanumba
 
Kanumba the great mungu amlaze mahali pema ni moja kati ya vijana niliowapenda sana kwa kuwa walikuwa wanalitangaza vyema sana taifa letu tukufu la Tanzania
 
Wasanii wa bongo wamesha msahau kabisa kanumba, yaani juzi mama kanumba katoka pale mahakama hakuna hata msanii mmoja aliempa lift kina Dr. cheni wamemuacha yule mama ananyeshewa na mvua baada ya kuona hakuna mwenye kumpa attention akaamua kwenda zake kupanda daladala inasikitisha kwa kweli mama kawa mpweke kabisa.
Mkuu ya kweli haya?

Back
Top Bottom