Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Kheri
Haina uthibitisho kila mtu mwenye vidoti unyayoni kuwa ana HIV, sio kweli Bali ni ukiwa na HIV na ukaanza kutumia dawa za HIV inaweza ikakupelekea ukapata vidoti unyayoni na sio Kwa wote lazima wapate vidoti, au hata kabla ya kutumia dawa Kinga ya mwili inashuka baada ya kupata HIV na inaweza kusababishia vidoti mwilini na unyayoni pia
Vidoti unyayoni vinaweza kusababishwa na Hali tofauti tofauti na sio lazima uwe na HIV au utumie dawa za HIV, unaweza ukapata fangas, na maradhi mengine yakakusababishia vidoti unyayoni
Usishituke na kupata hofu juu yanayoendelea mtandaoni na ukalinganisha unyayo wako ukakuta una vidoti ukapata mshituko sio kila mwenye vidoti unyayoni ni muathrika, unaweza usiwe na vidoti mwilini na ukawa muathirika wa HIV
Check Afya Yako na jali Afya Yako Kwa kujilinda Kwa Hali na Mali.