Usitumie nguvu katika suala hili. jambo la muhimu, ni kupima afya yako ukiona vidoti vinakunyemelea bwashee.Kheri
Haina uthibitisho kila mtu mwenye vidoti unyayoni kuwa ana HIV, sio kweli Bali ni ukiwa na HIV na ukaanza kutumia dawa za HIV inaweza ikakupelekea ukapata vidoti unyayoni na sio Kwa wote lazima wapate vidoti, au hata kabla ya kutumia dawa Kinga ya mwili inashuka baada ya kupata HIV na inaweza kusababishia vidoti mwilini na unyayoni pia
Vidoti unyayoni vinaweza kusababishwa na Hali tofauti tofauti na sio lazima uwe na HIV au utumie dawa za HIV, unaweza ukapata fangas, na maradhi mengine yakakusababishia vidoti unyayoni
Usishituke na kupata hofu juu yanayoendelea mtandaoni na ukalinganisha unyayo wako ukakuta una vidoti ukapata mshituko sio kila mwenye vidoti unyayoni ni muathrika, unaweza usiwe na vidoti mwilini na ukawa muathirika wa HIV
Check Afya Yako na jali Afya Yako Kwa kujilinda Kwa Hali na Mali.
Mengine si sawa, mfano unaambiwa wasanii hapa TZ wote wameungua, wewe na kiherehere bila kumpima unatumbukiza.Tusiwanyanyapae , yeyote anaweza akaugua au akaupata
Acha utoto katika jambo SeriousMkuu, usiwe na shaka na vidoti ulivyonavyo hauna ukimwi
Mjadaala wa Ngwengwe Umerudi Maana vijana walijisahau kabisa takribani ndani ya miaka hii 10 iliyopitaKheri
Haina uthibitisho kila mtu mwenye vidoti unyayoni kuwa ana HIV, sio kweli Bali ni ukiwa na HIV na ukaanza kutumia dawa za HIV inaweza ikakupelekea ukapata vidoti unyayoni na sio Kwa wote lazima wapate vidoti, au hata kabla ya kutumia dawa Kinga ya mwili inashuka baada ya kupata HIV na inaweza kusababishia vidoti mwilini na unyayoni pia
Vidoti unyayoni vinaweza kusababishwa na Hali tofauti tofauti na sio lazima uwe na HIV au utumie dawa za HIV, unaweza ukapata fangas, na maradhi mengine yakakusababishia vidoti unyayoni
Usishituke na kupata hofu juu yanayoendelea mtandaoni na ukalinganisha unyayo wako ukakuta una vidoti ukapata mshituko sio kila mwenye vidoti unyayoni ni muathrika, unaweza usiwe na vidoti mwilini na ukawa muathirika wa HIV
Check Afya Yako na jali Afya Yako Kwa kujilinda Kwa Hali na Mali.
Hahaha hizi data mnazipata wapi wakuuMengine si sawa, mfano unaambiwa wasanii hapa TZ wote wameungua, wewe na kiherehere bila kumpima unatumbukiza.
Keko Maziwa pale ni uswazi sanaSijui ilikuwaje tu keko mwanga nimetoka zangu kozi kibaha nikawa nakunywa pombe karibu na kamata kurudi kule uswahilini nakuja kuamka asubuhi mtu ana madoa kwenye mapaja hadi miguuni nililaumu sana pombe siku ile na sikunywa tena.
PPE?guidelines za WHO stage zote nne. Labda Mimi ndio sijui
Hata wanaotumia dozi za saratani huwa wanaweza kupata hiyo Hali. Tena kwenye uso ,viganja au nyayo.Kheri