Juu ya wenye vidoti unyayoni na waviu-wenye HIV

Usitumie nguvu katika suala hili. jambo la muhimu, ni kupima afya yako ukiona vidoti vinakunyemelea bwashee.
Mkuu, usiwe na shaka na vidoti ulivyonavyo hauna
 
Kwani kuna shida gani ilitokea mitandaoni hata sasa tunajadili habari za vidoti?kila mahala vidoti vidoti kuna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…