Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Barcelona bana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walizidiwa hasa baada ya change ya formation ya kipindi cha Pili. Hawakujua wamkabe nani. Then CR7 alikuwa haonekani. Isco na kroos walikuwa wanateleza hawashikiki.Kwa nini mkuu.?
Kwa mpira huu wameshusha heshima ya final kabisa hawa nyau.
Juve leo sio kabisa juve ambayo ilikuwa naifahamu aiseeh.
Wapuuzi sana hawa mbulula aisee[emoji31]Sina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.
Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.
Kwakweli juve mungu anawaona.
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Juve wametomba kazi
Pole sanaSina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.
Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.
Kwakweli juve mungu anawaona.
Betting[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahaha! presha za nn? wana barca utawajua tu mnyama cr7