Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

Kwa nini mkuu.?
Kwa mpira huu wameshusha heshima ya final kabisa hawa nyau.
Juve leo sio kabisa juve ambayo ilikuwa naifahamu aiseeh.
Walizidiwa hasa baada ya change ya formation ya kipindi cha Pili. Hawakujua wamkabe nani. Then CR7 alikuwa haonekani. Isco na kroos walikuwa wanateleza hawashikiki.

Ndio tofaut ya timu bora na timu ya kawaida. Timu bora yenye wachezaji bora. Mpaka raha mkuu. Nimeangalia hii mech, nime enjoy. Nimeona timu bora yenye wachezaji bora
 
Sina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.

Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.

Kwakweli juve mungu anawaona.
Wapuuzi sana hawa mbulula aisee[emoji31]
 
Sina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.

Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.

Kwakweli juve mungu anawaona.
Pole sana
 
Wachezaji wa JUVENTUS walibeti Madrid anashinda ndio maana.
 
Daah cjuagi maumivu ya kufungwa fainali since nianze Kuwa madridista et
Mkuu inauma sana pale unaishabikia team kwa moyo wako wote afu inakufanyia unyama kama huu wa kipindi chapil
 
Back
Top Bottom