Juventus Special Thread

kama kauwa!atalanta hoi!eti wanajiita giant killers,lol!pigwa tatu bila majibu.maskini inter mbendembende!tupo wenyewe kwenye kilele.hebu ngoja niite choombaa eeeh!wanisikia?kimyaaa!

barca wameshukuru juve kuongoza group .. Biancioneri wanatisha
 
Chomba kila ukituombea njaa JUVE ndio tunazidi kupaa. mimi sikuombei mabaya wewe nakuombea ushinde maana hawa walioko chini yetu wakiingia uefa wanasuasua sana. Kwenye Mchujo tu hawakawii kutolewa na Fc Basel.
 
barca wameshukuru juve kuongoza group .. Biancioneri wanatisha

bora tungepewa hao barca kuliko celtic,ndugu yangu chomba ameiepuka jehanum ya ujerumani.sina wasiwasi nae kwa barca.atapita tu.mie barca huwa hainitishi.tatizo lipo kwetu.timu ndogo zinatusumbua sana na ukizingatia barca alikula mbili pale,bora niwe mkweli,najihisi baridi sana tangu nisikie tumepewa celtic!uuuwiii!
 
usiongea huku unajing'ata wewe,yani siku barca ikifungwa kwa sasa ni kwa taabu na hasa asipokuwepo kiungo mahiri mkabaji Sergio Busquets i Burgos ambae kwa taarifa yako ktk mazoezi ya Barca kila siku upande anaochezea unashinda haijalishi yupo na nani wala nani,ni kiungo yeye na Gerard Pique i Bernabeu walioweka rekodi kucheza barca na Spain 1st eleven wakiwa mdogo,wenzao Iker Casillas Fernandez,Xavi Hernandes i Creus na Carles Puyol i Saforcada walikuwa wakiitwa wakiwa wadogo lakini hawakufanikiwa kupata namba 1st eleven wakati ule
 


Gutierez hivi ni lini timu za Spain zilimuandamisha Lavecchia?
Hebu tuongee na fact
 
Forza Serie A. mbona tunapita sote. yan JUVENTUS na Ac milan. wale Barca msimu uliopita full Rose Muhando kwenye ile mechi. Celtic sio wa kutufunga Juve ya leo hii. Chezeiya Juventus wewe. Hapa January watuletee yule Mshambuliaji wa Cagliari anaitwa NENE Bhaaaaas.
 
Gutierez hivi ni lini timu za Spain zilimuandamisha Lavecchia?
Hebu tuongee na fact
FC Barca ya sasa inatisha kaka,sio ile ya kina bogarde,reizeger,frank na ronald de boer,rivardo,guardiola,ikaja kina davids,saviola,riquelme,gaucho nk lakini hiki kizazi kipya cha sasa iniesta,xavi,messi,fabregas,busquets,pedro,pique,valdes,wakiongozwa na puyol inatisha kwanza wote ni fc barca damu toka wapo watoto,na ndio iliyoleta heshima Spain,nadhani unakumbuka vizuri 6ki kukutonesha donda azzurri alishikishwa adabu euro 2012 final
 
sio barca ya sasa,acheni ile ya zamani mmewafunga mpo pungufu Edgar Davids yupo Juve kala red card extra time,ile ilikuwa ya kiholanzi,sio hii ya kina Busquets,acha chezea hiyo ndio inaleta heshima Spain hata Del Bosque na Arteta wamekiri hiki ni kizazi bora cha soka ktk kipindi hiki cha soka duniani,wakimaanisha La Furia Roja wekundu wa Spain
 
Juventus ndio hao tunapaaa juu mbinguni. Tunawaacha Ac milan na Inter wakisuasua.
 
Choombaaa!mbona sioni updates zako za kila weekend leo?mie sijapata matokeo ya milan na roma kwi kwi kwii!lakini milan msafiri kafiri,anakaribia kushika usukani wake,tchee tchee chwii!
 
Choombaaa!mbona sioni updates zako za kila weekend leo?mie sijapata matokeo ya milan na roma kwi kwi kwii!lakini milan msafiri kafiri,anakaribia kushika usukani wake,tchee tchee chwii!


dah wametunanihii lakini kwa mbiinde kweli...
 
Buon 2013 a tutti gli amici juventini e non!!! Tantissimi auguri


happpy new year juve fans


 
Pò Pò Pò Pò Pò Pogbàààààààààà






 
Sneijder to join AC Milan...
Source Tuttosport Friday, January 4, 2013 08:08 Wesley Sneijder could look to have his contract
terminated at Inter in order to force through a
move to AC Milan, but the Nerazzurri are
understandably intent on blocking any such
move.
 
juve kajamba jamani...
Nimeamua kuwapandishia juu huu uzi wenu...
 
hodi hodi humu ndani...
wenyewe wenyewe jamani mpo humu?
Ngo ngo ngo hodi hodi wenyewe?

Teh teh sijui wamekufa au wamelala tu?
Manake tokea juzi katika mechi yao dhidi ya Sampdoria sijasikia nyumba hii hata kufagiliwa wala kupigwa deki wala kufunguliwa mapazia...

Hodi hodi watani mpo?
 
Karibu Mkuu CHOMBA, nipo mm mdogo wao. nilikua nimelala tangu juz. Kesho jipange mkuu maana hasira zote namalizia kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…