Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kauwa!atalanta hoi!eti wanajiita giant killers,lol!pigwa tatu bila majibu.maskini inter mbendembende!tupo wenyewe kwenye kilele.hebu ngoja niite choombaa eeeh!wanisikia?kimyaaa!
barca wameshukuru juve kuongoza group .. Biancioneri wanatisha
usiongea huku unajing'ata wewe,yani siku barca ikifungwa kwa sasa ni kwa taabu na hasa asipokuwepo kiungo mahiri mkabaji Sergio Busquets i Burgos ambae kwa taarifa yako ktk mazoezi ya Barca kila siku upande anaochezea unashinda haijalishi yupo na nani wala nani,ni kiungo yeye na Gerard Pique i Bernabeu walioweka rekodi kucheza barca na Spain 1st eleven wakiwa mdogo,wenzao Iker Casillas Fernandez,Xavi Hernandes i Creus na Carles Puyol i Saforcada walikuwa wakiitwa wakiwa wadogo lakini hawakufanikiwa kupata namba 1st eleven wakati ulebora tungepewa hao barca kuliko celtic,ndugu yangu chomba ameiepuka jehanum ya ujerumani.sina wasiwasi nae kwa barca.atapita tu.mie barca huwa hainitishi.tatizo lipo kwetu.timu ndogo zinatusumbua sana na ukizingatia barca alikula mbili pale,bora niwe mkweli,najihisi baridi sana tangu nisikie tumepewa celtic!uuuwiii!
usiongea huku unajing'ata wewe,yani siku barca ikifungwa kwa sasa ni kwa taabu na hasa asipokuwepo kiungo mahiri mkabaji Sergio Busquets i Burgos ambae kwa taarifa yako ktk mazoezi ya Barca kila siku upande anaochezea unashinda haijalishi yupo na nani wala nani,ni kiungo yeye na Gerard Pique i Bernabeu walioweka rekodi kucheza barca na Spain 1st eleven wakiwa mdogo,wenzao Iker Casillas Fernandez,Xavi Hernandes i Creus na Carles Puyol i Saforcada walikuwa wakiitwa wakiwa wadogo lakini hawakufanikiwa kupata namba 1st eleven wakati ule
FC Barca ya sasa inatisha kaka,sio ile ya kina bogarde,reizeger,frank na ronald de boer,rivardo,guardiola,ikaja kina davids,saviola,riquelme,gaucho nk lakini hiki kizazi kipya cha sasa iniesta,xavi,messi,fabregas,busquets,pedro,pique,valdes,wakiongozwa na puyol inatisha kwanza wote ni fc barca damu toka wapo watoto,na ndio iliyoleta heshima Spain,nadhani unakumbuka vizuri 6ki kukutonesha donda azzurri alishikishwa adabu euro 2012 finalGutierez hivi ni lini timu za Spain zilimuandamisha Lavecchia?
Hebu tuongee na fact
sio barca ya sasa,acheni ile ya zamani mmewafunga mpo pungufu Edgar Davids yupo Juve kala red card extra time,ile ilikuwa ya kiholanzi,sio hii ya kina Busquets,acha chezea hiyo ndio inaleta heshima Spain hata Del Bosque na Arteta wamekiri hiki ni kizazi bora cha soka ktk kipindi hiki cha soka duniani,wakimaanisha La Furia Roja wekundu wa SpainForza Serie A. mbona tunapita sote. yan JUVENTUS na Ac milan. wale Barca msimu uliopita full Rose Muhando kwenye ile mechi. Celtic sio wa kutufunga Juve ya leo hii. Chezeiya Juventus wewe. Hapa January watuletee yule Mshambuliaji wa Cagliari anaitwa NENE Bhaaaaas.
Choombaaa!mbona sioni updates zako za kila weekend leo?mie sijapata matokeo ya milan na roma kwi kwi kwii!lakini milan msafiri kafiri,anakaribia kushika usukani wake,tchee tchee chwii!
Pò Pò Pò Pò Pò Pogbàààààààààà
![]()