Juventus Special Thread

Swadaktaaa........ tutamtumia dadi wako maphotos flan hivi amazing, lol

Hewalaaa!!! That's why I love you, mwaaaa.....daddy Aleyn fumba macho upite hivi°°°°°°°′°°°°°😀😀
 
Last edited by a moderator:
Pirlo is set to play for Juve in Saturday's
Champions League final against
Barcelona, and it had been suggested
the 36-year-old would only consider
leaving the Serie A giants if they are
victorious in Berlin.

According to Spanish newspaper AS,
however, Pirlo has already accepted a
proposal from New York City having
spoken to the club's chief executive,
Ferran Soriano.


Nimekutana nayo kwenye misele. Kama ni kweli basi Allegri ana mlima next season. Pogba, Vidal, Tevez na sasa Pirlo. Mtaziba vp hizo nafasi?
 

Pirlo kuna uwezekano mkubwa ataondoka, Vidal na Tevez nina uhakika watakuwepo Mkuu, kwa reports za siku mbili hizi inasemekana Pogba anataka kwenda Barca na yupo tayari kukaa nasi kwa msimu mwingine ili kusubiria transfer ban ya Barca iishe muda wake
 
Pirlo kuna uwezekano mkubwa ataondoka, Vidal na Tevez nina uhakika watakuwepo Mkuu, kwa reports za siku mbili hizi inasemekana Pogba anataka kwenda Barca na yupo tayari kukaa nasi kwa msimu mwingine ili kusubiria transfer ban ya Barca iishe muda wake

Si nilisikia eti Wenger na RM wanamtaka Vidal imeeishia vipi?
 
Massimiliano Allegri has named a 22-man squad for Saturday evening’s Champions League final against Barcelona at Berlin’s Olympiastadion.
Giorgio Chiellini, who earlier today was officially ruled out of the game following tests on an injured calf, will travel with the squad regardless.
The full list is as follows:
1 Buffon
5 Ogbonna
6 Pogba
7 Pepe
8 Marchisio
9 Morata
10 Tevez
11 Coman
14 Llorente
15 Barzagli-
17 De Ceglie
19 Bonucci
20 Padoin
21 Pirlo
23 Vidal
26 Lichtsteiner
27 Sturaro
30 Storari
32 Matri
33 Evra
34 Rubinho
37 Pereyra
 
Si nilisikia eti Wenger na RM wanamtaka Vidal imeeishia vipi?

Arsenal hawana hela ya kumnunua Vidal na atakua karudi nyuma kutoka kuchezea team inayogombania vikombe kila mwaka kwenda club inayogombea nafasi ya nne
RM sioni atafiti wapi, hawezi kucheza namba za Modric au Kroos, Vidal siyo namba 10 pia, Madrid wanamtaka Veratti siyo Arturo
 
kwa reports za siku mbili hizi inasemekana Pogba anataka kwenda Barca na yupo tayari kukaa nasi kwa msimu mwingine ili kusubiria transfer ban ya Barca iishe muda wake

Naona 'Mes que un club' wanavunja bank siku hizi ku-sign wachezaji, ila bado wanatu-diss tuki-spend.
 
Yes Mourinho
Vidal atakuwa mpuuzi kwenda Arsenal, yaani anatoka Club ambayo anabeba makombe anaenda kwa timu ambayo kila mwaka lengo lake ni top 3 au UEFA afike Nusu lakini hafiki. Ni upuuzi huo.
Dogo Pogba mara ya mwisho amesema ndoto yake ni kuja kucheza na Messi, nadhani anataka awe mchezaji ambaye anabeba vikombe kila mwaka hususani UEFA. Kwa Barca tutakuwa tumelamba dume, tutakuwa na vijana damu changa ndani ya first 11, MESSI NEYMAR, SERGIO BUSQUETS, RAKITIC na POGBA pia akiwemo. Uhakika wa Namba pale Barca utakuwepo sababu Iniesta umri unamtupa na majeruhi kwa mbaaali yataanza kumtesa. Mungu saidia Pogba abaki Juventus, mijicho ya Real na Man U ipitie mbali kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Naona 'Mes que un club' wanavunja bank siku hizi ku-sign wachezaji, ila bado wanatu-diss tuki-spend.

Suarez, Neymar hawa jamaa wametucost sana yaani sijui kwanini Barca siku hizi wanatoa pesa ndefu kwa ajili ya usajili.
Twende mbele turudi nyuma, nyie Madrid wazembe sana, hivi ni kweli mnashindwa kumuuza Bale kwa pesa ambayo Man U wanatoa au Chelsea kisha mkasahili Wing nyingine nzuri kuliko yule jamaa. Mpira anaocheza na pesa yake haviringani kabisa.
 

Mazembe ni mateam ya EPL, huwa wananunua wachezaji kwa bei za kufuru na mishahara ya kufuru pia, mshahara wa Pogba ukienda EPL utakuta analipwa mtoto wa Academy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…