Juventus Special Thread


Mnaingia kila thread kujiuza masaburi yenu, hapa hatununui na tuna zero tolerance na tabia zozote zile za kishogamboga kama yule Rais wa Gambia
 
Mnaingia kila thread kujiuza masaburi yenu, hapa hatununui na tuna zero tolerance na tabia zozote zile za kishogamboga kama yule Rais wa Gambia
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Mwenye matokeo na picha za Final ya UEFA mwaka msimu ulioisha 2014/2015 atuwekee.
 
PNC 1 na dogo Aleyn, plz hili jukwaa c la mipasho kama mnavyodhani. Kaka mkuu Mourinho plz take it easy....wapotezee. Hapa tujadili soka na mambo yanayohusu club yetu na soka LA Italy kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
Sweet Mourinho achana nao hawa wapotezee tu leo wameamua kuchafua hali ya hewa ya sport JF.
 
Last edited by a moderator:
Sweet Mourinho achana nao hawa wapotezee tu leo wameamua kuchafua hali ya hewa ya sport JF.

Hujambo sweetheart? I had to respond mamy, hata kama unatumia fake ID heshima ni kitu cha bure na hawa wehu naona wamejisahau
Anyway mambo yako kipenzi? Nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
Hujambo sweetheart? I had to respond mamy, hata kama unatumia fake ID heshima ni kitu cha bure na hawa wehu naona wamejisahau
Anyway mambo yako kipenzi? Nimekumiss

Mimi sijambo kabisa hofu na mashaka ni kwako, hunishindi mimi....
 
Tena mwambie Mod aweke kabisa hii picha kwenye post ya kwanza kabisa

Si umeona tabasamu la Tavez? tee te tee



Maapenzi yanitesa...ta ra ra raaa..

Wazimu wanipata..ta ra ra raa..

Kwa kukufikiri Teeeveeez...

Namna ulivyonigeukaa...

Mimi nashangaa, najiuliza, tumeachana liinii..

Ti li li li tu lu lu tuu..

Daah! Maskini! Laiti comrade Mwinshehe angekuwepo ningekwea nae pipa hadi Buenos Aires, tungempigia mpini huyu baba hadi angerudi Peninsula tena angepita pale kwa baba paroko mkuu Francis kuungama kwa kuiacha Juve yake, mpaka baba paroko angemuuliza, mbona umerudi? Angemjibu " yule buluda mwenzio aliyeko parokia ya kwa Simba na Yanga kaja na ustaadhi wake mmoja hivi, wamelalamika sana, nimeonelea nirudi, bado wanahitaji burudani yangu!" halafu baba Paroko angemwambia "niitie huyo buluda na ustaadhi wake", halafu tungefika pale na Mwinshehe wangu, ungesikia "Inueenii mioyoo, mmesameheewa dhaambi zeenu",..Tevenga angehamaki "aama, mgosi baba mtakatifu kumbe nawewe ulimaindi?"...aargh! Hikh hik hik! Mourinho nisamehe bhana nneamka na hengiova..za siku?
 
Last edited by a moderator:
wamebaki.na picha sie makombe

Sawa! Ni hizo picha mmezifuata tena Turin na paundi mil 80!..na bado tumewatolea nje tumebaki na picha zetu! Ni hizo picha hao mapresidaa wenu wanazitumia kupigana vikumbo kupata uongozi Catalunya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…