Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mourinho soka ya Italia imebadilika sana mkuu.Juve ilikuwa inaitwa timu ya wazee.Sasa imeweka rekodi mwaka huu ndio timu pekee katika timu kubwa za ulaya ambayo imejaa wachezaji wengi waliozaliwa baada ya mwaka 1991."Sasa ni halali kabisa kuiita JUVENTUS (Vijana).
 
Last edited by a moderator:
Sawa! Ni hizo picha mmezifuata tena Turin na paundi mil 80!..na bado tumewatolea nje tumebaki na picha zetu! Ni hizo picha hao mapresidaa wenu wanazitumia kupigana vikumbo kupata uongozi Catalunya!

Dunia imeshangaa Juve mlichokifanya kwa Barca, sasa sijui dhumuni lenu ni nini!?
Pogba ni Barca pekee ndipo anastahili, sio Madrid wala Man City. Hongereni sana kwa kujua kuijenga timu yenu, timu za EPL ziige mfano kwenu na Barca na Madrid, sio kupiga domo tuu.
 
1435919583060.jpg
Natest tuu, nimetoka kuelekezwa!!!
 
Maapenzi yanitesa...ta ra ra raaa..

Wazimu wanipata..ta ra ra raa..

Kwa kukufikiri Teeeveeez...

Namna ulivyonigeukaa...

Mimi nashangaa, najiuliza, tumeachana liinii..

Ti li li li tu lu lu tuu..

Daah! Maskini! Laiti comrade Mwinshehe angekuwepo ningekwea nae pipa hadi Buenos Aires, tungempigia mpini huyu baba hadi angerudi Peninsula tena angepita pale kwa baba paroko mkuu Francis kuungama kwa kuiacha Juve yake, mpaka baba paroko angemuuliza, mbona umerudi? Angemjibu " yule buluda mwenzio aliyeko parokia ya kwa Simba na Yanga kaja na ustaadhi wake mmoja hivi, wamelalamika sana, nimeonelea nirudi, bado wanahitaji burudani yangu!" halafu baba Paroko angemwambia "niitie huyo buluda na ustaadhi wake", halafu tungefika pale na Mwinshehe wangu, ungesikia "Inueenii mioyoo, mmesameheewa dhaambi zeenu",..Tevenga angehamaki "aama, mgosi baba mtakatifu kumbe nawewe ulimaindi?"...aargh! Hikh hik hik! Mourinho nisamehe bhana nneamka na hengiova..za siku?

Naumwa ndugu yangu, daktari kasema ugonjwa wangu utapona baada ya dirisha la usajiri kufungwa.
Tevez sina naye kinyongo, he has been a loyal servant, mwache arudi nyumbani akamalizie mpira wake mbele ya familia, ndugu na jamaa zake
Kizunguzungu kipo kwa kina Pogba na Vidal, Pogba ni swala la muda tu ataondoka kwa dau nono, Vidal ningependa auzwe kabla hajatufia lakini iwe mapema sana ili tupate replacements zao, Pogba tumuuze Chelsea ili tupate pesa na Dogo Oscar, Vidal aende Madrid
 
Last edited by a moderator:
Mourinho soka ya Italia imebadilika sana mkuu.Juve ilikuwa inaitwa timu ya wazee.Sasa imeweka rekodi mwaka huu ndio timu pekee katika timu kubwa za ulaya ambayo imejaa wachezaji wengi waliozaliwa baada ya mwaka 1991."Sasa ni halali kabisa kuiita JUVENTUS (Vijana).

Bila kusahau 'kitalu' chetu cha kuotesha vipaji cha Sassuolo.
Kati ya Zaza na Berardi, ungependa nani arudi nyumbani?
 
Last edited by a moderator:
Back to work in Vinovo

Massimiliano Allegri leads a double training session in Vinovo. News on Giorgio Chiellini’s medical examinations

The Bianconeri returned to Juventus Center on Thursday for another double training session as preparations stepped up ahead of this Saturday’s friendly against Olympique Marseille.
After a morning of gym work and physical exercises on Vinovo’s training pitches, Massimiliano Allegri’s men followed their usual routine of shifting to a tactical workout with the ball in the afternoon.
One player unable to take part in training today was Giorgio Chiellini. After leaving the pitch early in the first half of Wednesday evening’s 2-1 victory against Lechia Gdansk, the defender underwent medical examinations which revealed a first grade tear of the rectus femoris in his right thigh.
Chiellini is expected to return to competitive action in approximately 20 days, thus ruling him out of the Super Cup in Shanghai on Saturday 8 August.
 
PhD 💪💪💪💪💪
 
Mkuu naona umeupandisha uzi. FORZA JUVENTUS
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.

Juve wameimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza Paul Dyabala, Mario Mandzukic, sammy Khadera na huyu wa juzi aliyetokea porto.

Msikose woooote C.E.O, Viper, juve2012, Gang Chomba, kaka mkubwa Mourinho, sports lady everlenk, pachanya, Belo, Pazi, Jacobus, myao wa tunduru, na maburuda wote. Bila kuwasahau wadau wa kule epl Ntuzu, na wenzake, kule laliga Mkuu Salamander.
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu zeroseventytwo, nimepotea karibu miezi kumi na nane. Ila kila kitu kipo poa, sasa hivi nimerudi ulingoni. Ngoja tusubiri siku ya mwisho dirisha kufungwa maana kwa upande wa BIANCONERI naimani wanahitaji wapate viungo wengine wawili wazibe mapengo ya vidal na pirlo. KHEDIRA yule anasumbuliwaga sana na majeraha ila nimzuri kwa ukabaji. Oscar angetusaidia kama tungempata ila hamna namna ngoja tusubiri tareh 31.
 
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.

Juve wameimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza Paul Dyabala, Mario Mandzukic, sammy Khadera na huyu wa juzi aliyetokea porto.

Msikose woooote C.E.O, Viper, juve2012, Gang Chomba, kaka mkubwa Mourinho, sports lady everlenk, pachanya, Belo, Pazi, Jacobus, myao wa tunduru, na maburuda wote. Bila kuwasahau wadau wa kule epl Ntuzu, na wenzake, kule laliga Mkuu Salamander.

Asante sana my kaka kwa ukaribisho huu, tupo pamoja tunaomba nanyi muwe active tu kutupatia uhondo huu wa Serie A.
 
Last edited by a moderator:
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.

Juve wameimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza Paul Dyabala, Mario Mandzukic, sammy Khadera na huyu wa juzi aliyetokea porto.

Msikose woooote C.E.O, Viper, juve2012, Gang Chomba, kaka mkubwa Mourinho, sports lady everlenk, pachanya, Belo, Pazi, Jacobus, myao wa tunduru, na maburuda wote. Bila kuwasahau wadau wa kule epl Ntuzu, na wenzake, kule laliga Mkuu Salamander.

Kaka mkubwa asante sn mkuu kwa ukaribisho wako......Mimi soccar ndio ulevi wangu haswaaaaaa ......... Tuko pamoja Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom