juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa! Ni hizo picha mmezifuata tena Turin na paundi mil 80!..na bado tumewatolea nje tumebaki na picha zetu! Ni hizo picha hao mapresidaa wenu wanazitumia kupigana vikumbo kupata uongozi Catalunya!
Imetisha mkuuView attachment 265421
Natest tuu, nimetoka kuelekezwa!!!
Imetisha mkuu
ha ha ha ha ha ha ha ha ha haView attachment 265421
Natest tuu, nimetoka kuelekezwa!!!
Maapenzi yanitesa...ta ra ra raaa..
Wazimu wanipata..ta ra ra raa..
Kwa kukufikiri Teeeveeez...
Namna ulivyonigeukaa...
Mimi nashangaa, najiuliza, tumeachana liinii..
Ti li li li tu lu lu tuu..
Daah! Maskini! Laiti comrade Mwinshehe angekuwepo ningekwea nae pipa hadi Buenos Aires, tungempigia mpini huyu baba hadi angerudi Peninsula tena angepita pale kwa baba paroko mkuu Francis kuungama kwa kuiacha Juve yake, mpaka baba paroko angemuuliza, mbona umerudi? Angemjibu " yule buluda mwenzio aliyeko parokia ya kwa Simba na Yanga kaja na ustaadhi wake mmoja hivi, wamelalamika sana, nimeonelea nirudi, bado wanahitaji burudani yangu!" halafu baba Paroko angemwambia "niitie huyo buluda na ustaadhi wake", halafu tungefika pale na Mwinshehe wangu, ungesikia "Inueenii mioyoo, mmesameheewa dhaambi zeenu",..Tevenga angehamaki "aama, mgosi baba mtakatifu kumbe nawewe ulimaindi?"...aargh! Hikh hik hik! Mourinho nisamehe bhana nneamka na hengiova..za siku?
Mourinho soka ya Italia imebadilika sana mkuu.Juve ilikuwa inaitwa timu ya wazee.Sasa imeweka rekodi mwaka huu ndio timu pekee katika timu kubwa za ulaya ambayo imejaa wachezaji wengi waliozaliwa baada ya mwaka 1991."Sasa ni halali kabisa kuiita JUVENTUS (Vijana).
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.Mkuu naona umeupandisha uzi. FORZA JUVENTUS
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.
Juve wameimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza Paul Dyabala, Mario Mandzukic, sammy Khadera na huyu wa juzi aliyetokea porto.
Msikose woooote C.E.O, Viper, juve2012, Gang Chomba, kaka mkubwa Mourinho, sports lady everlenk, pachanya, Belo, Pazi, Jacobus, myao wa tunduru, na maburuda wote. Bila kuwasahau wadau wa kule epl Ntuzu, na wenzake, kule laliga Mkuu Salamander.