Mp aka sasa Juventus inapata Tabu Sema kuna dogo anacheza vizuri wa Kifaransa kavaa number Eleven...
Naaachia hapa dk 74 0-0 vs Udinese
Barca siipendi Mie naisubiri Real Madrid ndio chama langu Spain... Ila pia napenda ligi Spain duh Juventus tushatandikwa wakati naaandika haya.....Nakupa kampani kiaina usiondoke.......nawacheki na Barca pia ila tuko pamoja.
Juventus 0 Udinese 1 dk 78
Full time mabingwa wa Italy wamefungwa game ya Kwanza 1-0 na Udinese game ijayo no Juventus na Roma itakuwa jpili.
Nakusalimu Sweetheart, uhali gani mamy? Habari ya uzima wako? Theatre of dreams wazima? Nimekumiss
Back to football, hatuna Pirlo, Vidal, Tevez for life, bado Khedira, Morata walikua majeruhi, tungeshinda ingekua bahati ingawa tunahitaji creative mid's hata wawili hivi, ngoja tuone Cuadrado ataleta nini
Nakusalimu Sweetheart, uhali gani mamy? Habari ya uzima wako? Theatre of dreams wazima? Nimekumiss
Back to football, hatuna Pirlo, Vidal, Tevez for life, bado Khedira, Morata walikua majeruhi, tungeshinda ingekua bahati ingawa tunahitaji creative mid's hata wawili hivi, ngoja tuone Cuadrado ataleta nini
bologna unapotea mno bhana. Serie A inakwenda kuanza kesho. Sijaona jitihada zozote zilizofanywa na vilab kama #roma , #milan #napoli na interMilan kuvunja umwamba wa juve msimu huu.
Juve wameimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza Paul Dyabala, Mario Mandzukic, sammy Khadera na huyu wa juzi aliyetokea porto.
Msikose woooote C.E.O, Viper, juve2012, Gang Chomba, kaka mkubwa Mourinho, sports lady everlenk, pachanya, Belo, Pazi, Jacobus, myao wa tunduru, na maburuda wote. Bila kuwasahau wadau wa kule epl Ntuzu, na wenzake, kule laliga Mkuu Salamander.
Habari za siku wakuu?Mourinho nadhani uko sahihi sana kwenye suala la creativity,kweli itakuwa better tukisajili wawili,nadhani Draxler akipatikana,ukijumlisha na Cuadrado,kidogo patatulia,but i wish tungevunja account kwa Gotze,strength yetu ya midfield ingekuwa restored.Nimechefuka na kitendo cha kocha wa Udinese kupredict tutakavyocheza na kweli tukacheza tactics hizo hizo,na yeye akatubana na kutumaliza kwa nafasi chache kama alivyopanga.That is worse.
My darling hofu na mashaka ni kwako yaani kimya mpaka basi nikajisemea labda my darling yuko bize kuingia pale Dodoma maana ukimya huu siyo bure.!!!.......kwa kweli pale Kati siyo kabisa ila mdogo mdogo timu itarudi kwenye hali yake,juzi Kati kwenye super cup ilikuwa bomba naamini hata league itaenda vizuri......Cuadrado namuona kama kapungua makali fulani anyway akikutana na mabruda atakuwa mzuri zaid.
Sweetheart nilikua kimya maksudically ili kujipa muda kukubaliana na uhalisia kuwa team yangu inarudi nyuma hatua nyingi sana msimu huu, kina Marotta wanazingua tu kwenye usajili
Lakini huwa nasoma michango yako na inanifariji kuwa niling'oa chuma mamy, nakulavuz sana na waambie kina Ntuzu waache kumendea usingizi wa Baba
Sijui Barca wameahidi nini, lakini nafikiri ni wakati muafaka tuchukue pesa ya Chelsea na mchezaji mmoja kutoka kwao preferably Oscar kabla nyanya haijageuka salo, sijui kama Pogba atawika bila Vidal, Pirlo na Tevez, maana dalili zinaonekana mapema