Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Safari njema, napata wakati mgumu kwamba huyu jamaa nitamkumbuka kwa lipi.
Sasa nimesikia Mzee upo Vinovo, hebu tuhabarishe yaliyojiri, maana simuelewi kabisa Marotta

Juventus,Man city,Sevilla,Mjerumani...naenda kulala,huku baridi kali,kichwa kimeanza kuuma ghafla.
 
Juventus,Man city,Sevilla,Mjerumani...naenda kulala,huku baridi kali,kichwa kimeanza kuuma ghafla.

Tunarudi Europa asee, wakimchukua na Pobga tutakua wapole sana msimu huu, mweeeh 😔
 
Daaaaah, huu mwaka mbona majanga majangani. Timu haijakaa sawa, kundi letu nalo manyaunyau. Kweli mwaka huu ngoma mchuzi wa paka hyo. Hata panya haunusi.
 
Leo vepeeeeeeee..
Lazma roma akae

Saa 1jioni kwa saa bongo. Juventus against Roma. Bingwa mtetezi dhidi ya makamu bingwa. Juventus wanaenda roma wakitoka kupigwa bao 1 na udinese last week. Roma wao walipata sare.

Cuadrado anaweza kuanza Leo baada ya kukamilisha usajili akitokea Chelsea. Digne naye kwa upande wake anatarajia kuanza kwa upande wa Roma baada ya kukamilisha usajili wa mkopo akitokea psg.

Tukutane saa 1 jioni hii.
 
Mimi huzuni tu mwaka huu.Nimenuna mno kumpeleka Kingsley Coman kule Munich kwa mkopo wa 2 years.Tuna miezi tunazungumzia dili ya Draxler bila mafanikio.Wolfsburg wameanza mazungumzo juzi tu na wanakaribia kumbeba.Sisi ni kuzungumza tuu,zungumza tuuu,kama vile tunambembeleza Riek Machar aache vita South Sudan!hela za ubingwa na CL final wanafanyia nini wehu hawa?Marota anatengeneza "Italian Arsenal" yake!stupid.
 
Me naomba niruhusiwe nipumzike kidogo, this is too much
 
Darling Mourinho leo Nyumba yetu imeingiliwa haiwezekani aiseee!!!! Hakuna wa kumfaidi mwenzie...duhhh!!!!......basi tu niishie kusema #ForzaJuve.....
Dan nilipitiwa Game hii second half Kumbe imeisha Juve tumefungwa 2-1 mbaya sana Roma inaonekana watakuwa wazuri ila mapema Juve inamkosa Pirlo zile Pasi inampa msaada sana Pogba kufanya mengine sasa hivi inamtegemea Pogba atoe zile Pasi afanye mengine pia inakuwa ngumu.
 
Hakuna tena heavy squad pengo la Pirlo, Vidal na Tevez linaonekana aiseee!!! Tuvute subira labda mambo yatakaa sawa na kina Khedira....
 
Mwaka mbaya sana. Tunamuuza coman tukiteggemea kupata draxler matokeo yake Tunamkosa anatimkia zake timu nyingine. Yan ni full manyaunyau mwaka huu. Yamebaki masaa machache then marota anatimbangatimbanga tu.. Yan bora pogba auzwe msimu huu,mana msimu ujio atatudodea.
 
Naona juve wanasajili vidukuviduku. Huyo lemina naye anakiduku chizi kichwani. Mkuu mourinho naona nyanya imebaki kwenye friji(pogba).
 
Back
Top Bottom