Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Half time juve tumetanguliwa kwa bao 1-0, tena tupo nyumbani. Ila Mimi naona Alegri analeta utani. Hiki kikosi alichopanga ni dhaifu. Nikiangalia sub naona wakali wote Leo kaamua kuwapumzisha.
 
Sweet sijamalizia hata game tena nilipopata taarifa za Mohamed Mtoi basi kila kitu kiliishia pale pale,daaah !!! Jamaa amenistua mbaya yaani so sad Sweeet.....RIP Mtoi

Pole Sweet na poleni wana UKAWA kwa huo msiba, sikujua kama mamy na wewe ni kada wa CDM, poleni sana
 
juve hamna kitu mkuu, Jana wamepelekeshwa vibaya na wale watoto

Umemfuma kibonde mwenzako huko EPL basi umekuja na mdundiko mpaka kwa mabuluda, huogopi hata kuongea lugha za mipasho mbele ya buluda?
Siku mlipoukalia kwa kina Bafetimbi na Andre Ayew mbona mdundiko hukucheza na hapa viungani hukuonekana?
 
Hahaaaaa, bafetimbi m-babe wetu yule sikatai, ila nyie ndugu zangu hali ni mbayaaa aisee, j5 nasikia mnakutana na akina KDB, toure, silva, sterling hahahahaaa, game tatu point moja
 
Pole Sweet na poleni wana UKAWA kwa huo msiba, sikujua kama mamy na wewe ni kada wa CDM, poleni sana

Ahhhhh!!!! Sweet mi thiyo hata kada wala thina chama ila kama vile napenda mabadiliko......lol..jamaa nilikuwa namkubali sana tu na speech zake. Vip Wewe ni wa thithiem au ?

Haya tena Sweet wiki jipya hiloooo limeanza kina Aguero,Sterling ndani ya Nyumba,utachomoka sweet?
 
Sweetheart me siyo chama la mafisadi wala huko kwingine, siasa za bongo kidogo ziko mbali na mie ingawa kichinjio nnacho😜
Kwa kweli hali yangu si muzuri Mamy na wewe unajua, nadhani ile 'vekesheni' ya bwagamoyo twende tena, safari tufike mpaka mlingotini maana hali si mzuri kabisaaa
Hongera zako naona juzi umemnyonyoa jogoo ukamla mchuzi tena bila hata kutenga pembeni firigisi za baba?
 
Back
Top Bottom