Safari njema, napata wakati mgumu kwamba huyu jamaa nitamkumbuka kwa lipi.
Sasa nimesikia Mzee upo Vinovo, hebu tuhabarishe yaliyojiri, maana simuelewi kabisa Marotta
Juventus,Man city,Sevilla,Mjerumani...naenda kulala,huku baridi kali,kichwa kimeanza kuuma ghafla.
Lazima wapate mchekea, si unajua wameingia kwa Mbinde sana.
Leo vepeeeeeeee..
Lazma roma akae
Mimi huzuni tu mwaka huu.Nimenuna mno kumpeleka Kingsley Coman kule Munich kwa mkopo wa 2 years.Tuna miezi tunazungumzia dili ya Draxler bila mafanikio.Wolfsburg wameanza mazungumzo juzi tu na wanakaribia kumbeba.Sisi ni kuzungumza tuu,zungumza tuuu,kama vile tunambembeleza Riek Machar aache vita South Sudan!hela za ubingwa na CL final wanafanyia nini wehu hawa?Marota anatengeneza "Italian Arsenal" yake!stupid.
Dan nilipitiwa Game hii second half Kumbe imeisha Juve tumefungwa 2-1 mbaya sana Roma inaonekana watakuwa wazuri ila mapema Juve inamkosa Pirlo zile Pasi inampa msaada sana Pogba kufanya mengine sasa hivi inamtegemea Pogba atoe zile Pasi afanye mengine pia inakuwa ngumu.Darling Mourinho leo Nyumba yetu imeingiliwa haiwezekani aiseee!!!! Hakuna wa kumfaidi mwenzie...duhhh!!!!......basi tu niishie kusema #ForzaJuve.....
Dan nilipitiwa Game hii second half Kumbe imeisha Juve tumefungwa 2-1 mbaya sana Roma inaonekana watakuwa wazuri ila mapema Juve inamkosa Pirlo zile Pasi inampa msaada sana Pogba kufanya mengine sasa hivi inamtegemea Pogba atoe zile Pasi afanye mengine pia inakuwa ngumu.
Darling Mourinho leo Nyumba yetu imeingiliwa haiwezekani aiseee!!!! Hakuna wa kumfariji mwenzie...duhhh!!!!......basi tu niishie kusema #ForzaJuve.....
Pole Sweetheart, hasira zetu tukajifungie bwagamoyo weekend hii ya International break, tukirudi wepesiiiii