Juventus Special Thread

Darling missing you moo.....Ila dooh bado kibarua kizito kweli ,Haya Magoli mawili ya mjerumani nyumbani Kwetu doooohhhh!!!!! ......tutavuka tu Forza Juve.
 
WADAU NAAMINI LEO MPO SI YA KUKOSA GAME YA LEO DERB D'ITALIA, tukisubir ile ambayo ya coppa Italia ambayo tulimaliz kazi mapema kwa ushindi wa 3-0

BAADA YA KUDRAW NA WATOTO WA DONADONI, LEO CHIELLINI NDANI YA NYUMBA YA BACKLINE, LKIN KAMA KAWAIDA SIONI JUVE IKIENDA KAMA ALEX SANDRO HAYUPO KWENYE TEAM SHEET,

NA PIA KHEDIRA HUYU ALLEGRI MUST DROP HIM,
(MAYBE HIS CONTRACT PROTECTS HIM) BUT FOR SURE KHEDIR NI MZIGO kwa Marchisio, the man of juve Marchisio anakuwa na wakati na jukumu zito sana akichez na khedira inabid lile eneo nalo liangaliwe

Kama kawa ALEX SANDRO inabid awepo na insist this is the typ of player w need to have EVRA is good lkin for crosses ts better ALEX SANDRO to b considered na pia uzee wa evra miguu ishaanz kuchoka kuchez kma WINGBACK ni.shughul ndefu labda aendelee kutumia 4-4-2 ambay naona inatulinda tusiwe exposed but it didn't help against BAVARIANS nyie mliona wenyew
 
Nafasi ya khedira angemzoesha sturaro. Sababu Sturaro mwanzo alianza kuziba pengo vzuri tu. Sema ndio vile kocha anamuamini khedira. Zaza aendelee kuanzia benchi maana ananikumbusha Enzi za zalayeta Marcelo. Forza juventus
 
Alafu juve tumchukue berardi jamani. Yan kila game ya sassuolo huyu dogo ananikosha.
 
Jamani hawa viola watawaua napoli leo. Still uno uno hadi mapumzuko, ila napoli wanahemea gesi ya mtungi.
 
Jamani hawa viola watawaua napoli leo. Still uno uno hadi mapumzuko, ila napoli wanahemea gesi ya mtungi.

NAPOLI LEO BAHATI YAO, LKINI PIA HINGUAIN HAKUWA NA BAHATI

KALINIC NA TELLO WAMEGONGA MIAMBA MARA MBILI DAH PAUL SOUSA i thnk ni bst coach tokea aichukue team inaendelea kujengeka vizur
 
Naona pumzi inatuishia Pontenepoi. Kule europa tumetolewa na villareal, Juventus washatunyanganya uskani kwenye kinyanganyiro cha scudetto. Copa italia tushaondolewa. Mpaka hapo hatuna matumaini ya kikombe chochote. Labda juve wateleze ndio nafuu kwetu
 
dah leo siamini hichi kinachotokea kwa juve kweli tunaenda extra time wakati first leg tulimpga tatu NERAZZURI
 
what a defaet of 3 goals can make you fill like a victory

CAPTAIN BONUCCCCCCCIIIIIIIIII

we will meet Rossoneri on MAY 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…