Juventus Special Thread

Aisee poleni sana kwa kichapo cha Jana......

tumepigwa lakin tumepita kwa penati, ile gme tuliloana sana POGBA alivyoingia

kpind cha extra time tukamiliki mchezo, asamoah alichezeshwa kushoto akaangushs team sana
 
LEO ROMA vs FIORENTINA Tumuombee njaa huyu GIALOROSSI, maana tokea spalleti aingie wanatoa vichapo tu, na naona El sharaway anataka asisahaulike na conte EURO 2016
 
LEO ROMA vs FIORENTINA Tumuombee njaa huyu GIALOROSSI, maana tokea spalleti aingie wanatoa vichapo tu, na naona El sharaway anataka asisahaulike na conte EURO 2016
Mwache aendelee hivyohivyo ili siku tukimfuma tumchape akiwa na team itakayobishana kidogo
 
tumepigwa lakin tumepita kwa penati, ile gme tuliloana sana POGBA alivyoingia

kpind cha extra time tukamiliki mchezo, asamoah alichezeshwa kushoto akaangushs team sana
Aiseeee!!!!!! Kumbe game liliendelea maana nilivyoona Juve kazidiwa nilienda zangu kulala.......hongereni kwa kupita.
 
LEO atlanta Bergamo, wakina Denis wasi tuhadhirishe jamani

forza BIANCONERI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…