Niliwahi kusema ucl msimu huu kuna vikosi viwili tu juve na barca. Wengine wasindikizaji. Tuombe mungu robo tupangiwe wale walemavu wa manchester.Mi nilishawaambia watu, Squad inayotisha kwenye mashindano haya na watu hawataki kuwapa nafasi kwenye mikeka Yao ni Juve. Watu watakuwa wameliwa hela vibaya leo
Kad za njano mzigoLeo bampa to bampa. Lewandowski hatembei.
Niliwahi kusema ucl msimu huu kuna vikosi viwili tu juve na barca. Wengine wasindikizaji. Tuombe mungu robo tupangiwe wale walemavu wa manchester.
Dogo kapiga kwelikatuua coman lile goli lina uchawi kaa goli sita goli moja tu
Kocha alifanya sub ya kizembe khedera asingestahili kutokajuven daaah kashalala asyee
Kinachouma Coman ni mchezaji wa Juve na leo kawaua Juvekatuua coman lile goli lina uchawi kaa goli sita goli moja tu
Sub za Khedira na Morata zilifanywa mapema sanaKocha alifanya sub ya kizembe khedera asingestahili kutoka
Morata ni mchezaji special kwa Champions League
Kocha alifanya sub ya kizembe khedera asingestahili kutoka
Ndio football, msimu uliopita vidal alikua juv, leo karibu wapiganeKinachouma Coman ni mchezaji wa Juve na leo kawaua Juve
na uache kwelinitaacha kuangalia mpira kwa miaka 6
Aisee vipi utaendelea kuangalia soka tena?nitaacha kuangalia mpira kwa miaka 6