Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 653
Team ac millan hapaSawa mimi pia ni shabiki wa Juve
Sema ujue little is known aboyt Serie A na juve isha shnda mnoo
Nadhan ladha flan hivi imepotea
Ila mimi pia juve for life
HahahaTeam ac millan hapa
Usiseme tunajitahidi sema mpo vizuri, mwakani mtatuona uefa, tuna vijana wetu pale watatu donnaruma, romagnoli & locatel ogopa sna hawa viumbeHahaha
Mna uzi wenu huo
Mwaka huu kidogo mnajitahidi
AaahUsiseme tunajitahidi sema mpo vizuri, mwakani mtatuona uefa, tuna vijana wetu pale watatu donnaruma, romagnoli & locatel ogopa sna hawa viumbe
Donnaruma huyu mtoto alishaujulisha ulimwengu kuwa yeye ndio golikipa namba moja wa italy ajae toka msimu uliopita, kama ulicheki ile game na Juve baada ya game kuisha mzee buffon alimtafuta mtoto kwenda kum-busu na mtoto ndio kwanza ana 17 saiz.Aaah
Bado ebu tulia kwanza tuwaone mwisho wa msimu
AaaaahDonnaruma huyu mtoto alishaujulisha ulimwengu kuwa yeye ndio golikipa namba moja wa italy ajae toka msimu uliopita, kama ulicheki ile game na Juve baada ya game kuisha mzee buffon alimtafuta mtoto kwenda kum-busu na mtoto ndio kwanza ana 17 saiz.
Sawa mimi pia ni shabiki wa Juve
Sema ujue little is known about Serie A na juve isha shnda mnoo
Nadhan ladha flan hivi imepotea
Ila mimi pia juve for life
HahahaNikweli....Juve still wataendelea kusumbua sana serie A, style yao kidogo naona imefanana na Atletico unless they have a very speed na foward yao ni hatari mno, sio kama Atletico....labda kwa sasa vile wamesajili great playerZ naona hata game lao limebadilika kiac flani vile...
Hahaha
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na unacho kizungumza hapa jf
Kweli mwisho wa mwaka
HahahaHahahaa kwanini mkuu
Hahaha
Tuna shabikia vitu tofaut sana so actually huwa tunapishana mawazo, ila naona hapa kwa juve ndio at least tuna shabikia timu moja wote
Mlimuonea kibibi kizee mkaja mkakutana na vijana wenzenu GenoaπππUsiseme tunajitahidi sema mpo vizuri, mwakani mtatuona uefa, tuna vijana wetu pale watatu donnaruma, romagnoli & locatel ogopa sna hawa viumbe
Hahaaa sijamaanisha kwamba dogo amuweke nje buffon ila kwa umri wake ulivoenda kombe la dunia Russia golini tutakua na huyu mtotoAaaaah
Sasa wewe mkuu umeanza dharau
Kipa namba moja Italy anajulikana ebu muache dogo akue vzuri kwanza ndio tuta mjaji
Mkuu ile game ilikua yetu, licha ya paletta kula umeme dakika za mwanzo kabisa lakini tuliwakamata mno, ile sub ya Niang ndio iliharibu kila kitu.Mlimuonea kibibi kizee mkaja mkakutana na vijana wenzenu Genoaπππ
HahahaHahaaa sijamaanisha kwamba dogo amuweke nje buffon ila kwa umri wake ulivoenda kombe la dunia Russia golini tutakua na huyu mtoto
Mkuu ile game ilikua yetu, licha ya paletta kula umeme dakika za mwanzo kabisa lakini tuliwakamata mno, ile sub ya Niang ndio iliharibu kila kitu.
Mimi huwa hunioni?[emoji15]Mkuu iceman.../internazionale,juve,napoli nazipenda sana....ila wanapokutana zaidi nakua upande wa juve na ndio imenikaa sana kwenye kichwa changu naipenda sana! sema tu washabiki hawajitokezi mara kwa mara!
Belo,
Duduwasha
072
Hawa wadau kwakweli wanajitahidi sana kuwemo humu,..but wengine sio sana....
Mimi huwa hunioni?[emoji15]