BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
3-1? Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah3-1? Duh
Aaah
Walituwahi mwanzonii
Baadaye hadi washabiki wakawa golini
HahahaHiyo ya kuwahiwa mbaya sana....
Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.Leooo
Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.
Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.
Hahaha
Walijenga ukuta balaa
Mpira mahesabu leo yalishindikana
Yeah, Milan naona pumzi imerudi. Gang Chomba anafuraha sana kwa sasa.Gang kapiga mtu 4, now amekunja 4 anakula kuku kwa mrija.....
HahahaHatari sana.... ni kama ule wa trump atakaojenga pale mexico border....
Sijawakimbia Man U ila nikija Italy nitambue zaidi kama Juve.........Ila Jana duhhhhh aibuuu[emoji24]😀kipenzi changu katika ubora wake Ukhti Everlenk namaanisha Juve Fanz/ wenye thread yao , kwani na wewe juve fan? Mi najua wewe ni Man u au ushawakimbia huko?
Mwambie huyo kaka yako mkubwa ataniua bure kwa presha !!!!!Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.
Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.
Sijawakimbia Man U ila nikija Italy nitambue zaidi kama Juve.........Ila Jana duhhhhh aibuuu[emoji24]
Juve....... nipo best yangu ubize huu acha tu tunakosa Hata muda wa kujidai jukwaani.Aibu kwa nani juve ama Barca? Alaf ulipotelea wapi kitambo sikuoni jukwaani!!!!!
Juve....... nipo best yangu ubize huu acha tu tunakosa Hata muda wa kujidai jukwaani.
Yaani post ya kwanza hapa JF ilikua PM yako my sweetheart, but am back buluda niliyezaliwa upyaMwambie huyo kaka yako mkubwa ataniua bure kwa presha !!!!!
Salama salmini ndugu yangu, pilika pilika za maisha wakati mwingine zinanifanya niwe mpita njia tu hapa jamvini, but am back. Habari za Napoli?Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.
Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.
Leo tupo dimbani na sassuola usiku huu. Yaani mambo hayaendi kabisa. Zile middle table team eti kwa sasa ni bora kuliko sisi. Nimejiuliza sana maswali mengi kuhusu soka la italia. Wale makocha wa aina ya kina Lippi, Cappelo, Sacchi nk kwa italia ya sasa hawapo?Salama salmini ndugu yangu, pilika pilika za maisha wakati mwingine zinanifanya niwe mpita njia tu hapa jamvini, but am back. Habari za Napoli?
Sisi bana naona tumeimaliza ile circle ya Allegri maana huyu bwana huwa na misimu miwili/mitatu mizuri kabla ya kuanza kuboronga, lakini kumbuka kuwa tuna majeruhi wanaotuvuta sana shati
Yaani hii furaha sijui niisemeje!!!....welcome back my sweetheart, yaani nimekumiss ile mbaya......Jukwaa limepoa hope litachangamka.Yaani post ya kwanza hapa JF ilikua PM yako my sweetheart, but am back buluda niliyezaliwa upya
Forza Bianconeri
Kibaba jana kama siyo marefa mngepigwa asee na Sociedad😀 nakweli ukhti...lakini tambua kuwa kufanya kazi ni Ibada vilevile.....