Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha Zetu hizi za kunogesha..... kijana wetu Pogba.
Ha ha ha ha sawa dada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha Zetu hizi za kunogesha..... kijana wetu Pogba.
Kuna kamchezo kachafu kamechezwa na watu nje ya game... Kwa kukataa goli letu safi.. Miaka minne tumekuwa tukiwaadhibu sasa wameona njia ni nje ya dimba kwa makamisaaAC MILAN 1 - 0 Juve
Msimu huu juve hajachukua point yyte toka jiji la milan,Kuna kamchezo kachafu kamechezwa na watu nje ya game... Kwa kukataa goli letu safi.. Miaka minne tumekuwa tukiwaadhibu sasa wameona njia ni nje ya dimba kwa makamisaa
na MESSI katupia mbiliHatimaye jana tumefungwa, hatari sana wana milan wameamua msimu huu
Hapana Messo hachezei Milan mzeena MESSI katupia mbili
Uteja umevunjwa...Hatimaye jana tumefungwa, hatari sana wana milan wameamua msimu huu
Siyo mbaya lakin ligi tutabebaUteja umevunjwa...
Kuna kamchezo kachafu kamechezwa na watu nje ya game... Kwa kukataa goli letu safi.. Miaka minne tumekuwa tukiwaadhibu sasa wameona njia ni nje ya dimba kwa makamisaa
Nikweli jana tumeadhibiwa na bianconeri. Kwa muda kama wa wiki 4 hivi hatupo kwenye form. Tangu awe majeruhi mshambuliaji wetu bora kabisa Arkadus Milik timu imekosa mbinu kabisa. Soon tutarudi kwenye track. Game niliiangalia kwa dk 45 za mwanzo ngoma ilikuwa 50/50.Hongereni kwa Ushindi wa jana[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122], My kaka Ziroseventytwo Jana Napoli imekuangusha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha tu kaka ni kaupepo katapita,naona nawe kule mambo yako bam bam basi kelele zenu hatukohoi[emoji3] ,Hongereni mkiendelea hivi mtakula mema ya nchi.Nikweli jana tumeadhibiwa na bianconeri. Kwa muda kama wa wiki 4 hivi hatupo kwenye form. Tangu awe majeruhi mshambuliaji wetu bora kabisa Arkadus Milik timu imekosa mbinu kabisa. Soon tutarudi kwenye track. Game niliiangalia kwa dk 45 za mwanzo ngoma ilikuwa 50/50.
Vp kule 'hatushikiki" naona bado mnachechemea na bi maurine wenu.
Hapana Messo hachezei Milan mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Messo=Messi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa
Sawa mimi pia ni shabiki wa JuveMkuu iceman.../internazionale,juve,napoli nazipenda sana....ila wanapokutana zaidi nakua upande wa juve na ndio imenikaa sana kwenye kichwa changu naipenda sana! sema tu washabiki hawajitokezi mara kwa mara!
Belo,
Duduwasha
072
Hawa wadau kwakweli wanajitahidi sana kuwemo humu,..but wengine sio sana....