Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kuna kamchezo kachafu kamechezwa na watu nje ya game... Kwa kukataa goli letu safi.. Miaka minne tumekuwa tukiwaadhibu sasa wameona njia ni nje ya dimba kwa makamisaa
Msimu huu juve hajachukua point yyte toka jiji la milan,
 
Kuna kamchezo kachafu kamechezwa na watu nje ya game... Kwa kukataa goli letu safi.. Miaka minne tumekuwa tukiwaadhibu sasa wameona njia ni nje ya dimba kwa makamisaa

Hayo ni mambo ya kawaida kwenye soka.Milan hawana hela ya kuhonga marefa
 
Nashindwa kuelewa ni nini kinamsibu Cuadrado akiwa EPL?Yule niliyemuona jana kati ya Juve na Napoli ni Cuadrado mwingine kabisa,ameipeleka mchakamchaka Napoli hadi nikabaki namshangaa tu.
 
Game ilikuwa poa lakini kulikuwa na struggle ya ku craeate chance.
 
Hongereni kwa Ushindi wa jana[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122], My kaka Ziroseventytwo Jana Napoli imekuangusha.
Nikweli jana tumeadhibiwa na bianconeri. Kwa muda kama wa wiki 4 hivi hatupo kwenye form. Tangu awe majeruhi mshambuliaji wetu bora kabisa Arkadus Milik timu imekosa mbinu kabisa. Soon tutarudi kwenye track. Game niliiangalia kwa dk 45 za mwanzo ngoma ilikuwa 50/50.

Vp kule 'hatushikiki" naona bado mnachechemea na bi maurine wenu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha tu kaka ni kaupepo katapita,naona nawe kule mambo yako bam bam basi kelele zenu hatukohoi[emoji3] ,Hongereni mkiendelea hivi mtakula mema ya nchi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa

Mkuu iceman.../internazionale,juve,napoli nazipenda sana....ila wanapokutana zaidi nakua upande wa juve na ndio imenikaa sana kwenye kichwa changu naipenda sana! sema tu washabiki hawajitokezi mara kwa mara!
Belo,
Duduwasha
072
Hawa wadau kwakweli wanajitahidi sana kuwemo humu,..but wengine sio sana....
 
Sawa mimi pia ni shabiki wa Juve
Sema ujue little is known about Serie A na juve isha shnda mnoo
Nadhan ladha flan hivi imepotea
Ila mimi pia juve for life
 
Back
Top Bottom