Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.

Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.

Gang kapiga mtu 4, now amekunja 4 anakula kuku kwa mrija.....
 
😀kipenzi changu katika ubora wake Ukhti Everlenk namaanisha Juve Fanz/ wenye thread yao , kwani na wewe juve fan? Mi najua wewe ni Man u au ushawakimbia huko?
Sijawakimbia Man U ila nikija Italy nitambue zaidi kama Juve.........Ila Jana duhhhhh aibuuu[emoji24]
 
Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.

Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.
Mwambie huyo kaka yako mkubwa ataniua bure kwa presha !!!!!
 
Kaka mkubwa usalama upo? Kitambo sana ndugu. Vip huonekani hata kule premier league kwa jamaa zako kina Ntuzu na Mentor.

Naona leo mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Jukwaa limepoa sana. Umepotea mno bhana. Hata kule kwa Gang Chomba hali ni kama hapa. Pamepoa ile mbaya. Haji mpaka ashinde.
Salama salmini ndugu yangu, pilika pilika za maisha wakati mwingine zinanifanya niwe mpita njia tu hapa jamvini, but am back. Habari za Napoli?
Sisi bana naona tumeimaliza ile circle ya Allegri maana huyu bwana huwa na misimu miwili/mitatu mizuri kabla ya kuanza kuboronga, lakini kumbuka kuwa tuna majeruhi wanaotuvuta sana shati
 
Leo tupo dimbani na sassuola usiku huu. Yaani mambo hayaendi kabisa. Zile middle table team eti kwa sasa ni bora kuliko sisi. Nimejiuliza sana maswali mengi kuhusu soka la italia. Wale makocha wa aina ya kina Lippi, Cappelo, Sacchi nk kwa italia ya sasa hawapo?

Nimejaribu kurudi nyuma na kupitia baadhi ya post za zamani za huu uzi, uzi ulikuwa upo vizuri sana aisee. Wadau kibao tu walikuwa washauelewa. Hata nguli ninayemkubali sana kwenye uchambuzi wa soka MosDef alikuwa mdau hapa. Salamander yule mfurukurwa wa real madrid naye alikuwa hapa. Kwa ujumla huu uzi tuufufue na kuundeleza.

Kuwe na update za kila siku zinazohusu club ya juventus na soka la italia kqa ujumla wake. Mapicha, rumours za usajili na kila kinachoendelea kule serie A.

Karibu sana mkuu. Niitie na juve2012
 
Yaani post ya kwanza hapa JF ilikua PM yako my sweetheart, but am back buluda niliyezaliwa upya
Forza Bianconeri
Yaani hii furaha sijui niisemeje!!!....welcome back my sweetheart, yaani nimekumiss ile mbaya......Jukwaa limepoa hope litachangamka.
 
Back
Top Bottom