Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

When you book your trip to Cardiff. [emoji817] ([emoji328] @juventusfcen)
229ed57dc62af9e83db78bfd695e76e8.jpg
 
Oh my God!
That volley was a grave crime!
I hope Juve stadium announcer was reminding Barcelona of what they are missing....Daniii Alvees...Daniii Alvees..Daaaaniii...Alveeeees!
 
Naskia pamoja na ushindi na tiketi ya fainali na huku mashabiki na wachezaji wakipagawa na kushangilia uwanjani lakini bado kocha wa Juve aliondoka kwa hasira uwanjani baada ya mechi sababu ya goli la Mbappe.
The man is taking every detail into account,hataki defence yake ifungwe hata goli moja aisee,hapa ndipo nnapowavulia kofia wazungu.
A pure italian "catenachio" mentality.
 
Yuko makini uyu kocha.anaijua kz yake,,,watakiona cha moto watoto wa mama
 
CHAMPIONS!!!! THREE COPPA ITALIA IN A ROW!!!! [HASHTAG]#WEWONAGAIN[/HASHTAG] [HASHTAG]#FINOALLAFINE[/HASHTAG]
98360ae1a83fa5af7502ccc0f4564350.jpg
 
Back
Top Bottom