Mara hee mara hiiii eti juve atafungwa na B. Munich. Hya tutaona siku hiyo. JUVE NINAIMANI ITANIPA RAHA SIKU HIYO. Forza Juventus.
Habari:Beki wa Juve Martin Caceres apata ajali ya gari lakini apona. Tetesi:juve wanataka kumrudisha Ibra Turin. Tetesi:vidal atangaza kuimwaga Bayern iliyotaka kumsajili tena kwa mara ya pili.asema yupo yupo Turin for a looooong time!
Ndio madhara ya kuendesha gari ukiwa umelewa...ok pole Martin
Ebana leo timu ya Taifa ni Milan na Juve tu ndio wamehusika.
JUVE...
BUFFON, BONUCCI, BARZAGLI, PIRLO, GIACHELINI NA MARCHISIO.
MILAN.
DE SCIGLIO, ABATE, MONTOLIVO, EL SHAARAWY, SUPER MARIO.
wameipachika jina MilanTus...badala ya Juventus.
Balotelli akiifungia Italy magoli mawili.
Malta 0-2 Italy
Habari kwisha!Scudetto sealed.bado Bayern!Chomba bado anapanda ngazi wakati sie tushafika kileleni na tumeamua kuisukuma ngazi ianguke chini!