ujinga wa hawa wanacheza uleOne mistake one goal,so far... hope litarudi.... go Juve.
Tulianza vizuri lakini tumemaliza vibaya, hopeful Allegri kaliona hilo na atalifanyia kaziAhhh!! Hawa Madrid veepe wanataka kuharibu game sasa kwani hii mieleka??
Mko vizuri sana. Hii game yenu mnashinda.Tulianza vizuri lakini tumemaliza vibaya, hopeful Allegri kaliona hilo na atalifanyia kazi