Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Half time 1-1. Game ipo 50/50. Mtu wa kumwangalia sana hapa ni Carvajal maana mipira mingi inayotokea upande wake inaonekana kuwa na madhara. Pjanic lea yupo vizuri hali kadhalika Djabala.
Tutulie tu ushindi upo
FORZAJUVE
Wapi Gang Chomba?
 
Back
Top Bottom