bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,426
Itakua kweli ngumi zilipigwa. Daaah, bonucci tayari anatua Milan. Rugani bado ajakomaa kucheza mechi ngumu. Hapa tuombe Mungu Alex Sandro asiondoke ili tumchukue Matia de sciglio azibe pengo la dani Alves Huku pengo la bonucci lizibwe na Kostas Manolas.Tatizo tunabomoa timu tena.Alves huyoo,Bonucci nae mguu ndani nje,Cuadrado hakieleweki.
Allegri ajifunze kuishi na majabali,vinginevyo ya Ferguson yatamkuta.
Ilitakiwa DC awakute hawa wakiwa pale.
Na aina ya wachezaji wanaoondoka naanza kuamini huenda kweli siku ile ya fainali vs Madrid,ngumi zilipigwa half time ndani ya chumba cha Juve,maana wahusika ndio hao hao wanaoondoka.