Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juventus ni wazuri sana kwenye mechi za home and away. Usishangae kuona madrid ikawa ndio mwisho wakePoleni sana,maana hao Madrid wana njaa hatari
Upo real Madrid..?Safi sana, Barca nawasubiri kwa hamu kubwa. Ntawanyoa na kisu.
Jukwaa lolote unaingia tu,Hii ni burudani tu Mkuu..Hapana, nimechanganya jukwaa nilifikiri la real.