Safi sana, Barca nawasubiri kwa hamu kubwa. Ntawanyoa na kisu.
Mtangazaji mmoja anasema goli la CR 7 litazungumziwa miaka 100 ijayo hili sijui ni kweli.Ronaldo na Messi hawa siyo watu[emoji16][emoji16]
Watu wengi hudai Marefa wengi huzibeba timu kama real Madrid na Barcelona lakini hili linahitaji mjadala mpana.
Jamani tuacheni tuugulie maumivu kwanza!
Mzigo huu ni mzito mno!imeingia kweli!.
Lile lironaldo shwaini kabisa,linapenda misiiifa!msss!hivi linastaafu lini tupumzike?!
ni goli la kawaida tu. Magoli mazuri zaidi yamekua yakifungwa kila mwaka. ila dunia ndo ilivo akifanya mtufulani hapakaliki wengine wakifanya kama hakijatokea kitu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana ni mambo ya kawaida tu! Kuna king messAcha unafik...kifaranga ww...
sawa tembeAcha unafik...kifaranga ww...
and he keep on repeating.Bayern mwaka ule alipomtoa Morata,Cardiff fainali,now again,hajifunzi.Mpaka Del Piero nae amehoji kwanini kosa la Cardiff limerudiwa!Kama kawaida. Allegri ameipigisha mabao Juventus.
Hivi alikosa beki wakucheza kulia mpaka ampange De Sciglio? kwanini asinglimpanga Lichtsteiner? au Cudrado? au Barzagli na kati akaachiwa Dogo Rugani acheze? jamaa kashiriki kikamilifu kutagisha magoli yote matatu.
Na kwanini alimueka nje Cuadrado? ilikua ni must win game kwao. Aliamua kuchezesha mabeki wawili wakushoto pamoja walikua wakizongana tu wenyewe kwa wenyewe kila wakati sijui hata alichokikusudia ni nini.
Na kwanini ananga'ng'ania kumchezesha Costa kulia badala a kushoto? Wakati Dunia nzima inafaham kama costa akiwa upande wa kushoto ndio anauwasha moto isipokua yeye Allegri tu bado hajalifahamu hilo.
Na baadae ikiwa timu ishalambwa mabao badala kujipanga kutafut goli ili apate matumaini ya mechi ijayo, Ndipo alipokwenda kumtoa Costa na kutuingizia Matuidi uwanjani, Unashindwa kufahamu nini hasa anafanya huyu mzee.
Alitakiwa kufanya mabadiliko makubwa Baada ya halftime tu Cudrado amuingizo na libeki limoja lolote lakushotoalitoe, Kisha Costa aje kushoto Cuadrado abaki kulia Naamini magoli japo mawili yangelitoka. Lakini aliamua kukaa mpaka kashabandikwa matatu ndio anafanya sub.
Juventus kama hawajamtimua huyu mzee hawatoweza kamwe kubeba taji la Ulaya kwa miaka yakaribuni.
Kumbe PSG kilaza? Maana Real alianzia kwake na kumalizia kwa PSG. Pia mwaka jana nusu fainali na Atletico Madrid.Je bado unahisi kama hizo shutuma sio za kweli?
Real madrid au barcelona sikuzote wanapopangiwa na timu ngumu lazima waanze ugenini. Jaribu kulifuatilia hilo uhakikishe. ukiona kapingiwa kuanza nyumbani ujue yupo na kilaza.
Juventus walistahiki kupata penalti katika kipindi cha kwanza. asamiro aliunawa mbele refa kabisa na akijafnaya kama hajaona kitu.
Na red card ya Dybla??? alimuonea kabisa. video inaonesha wazi kabisa kama alirudisha mguu wake baada ya kumuona mtu mbele na bado kenda kumlamba kadi.
Jamani tuacheni tuugulie maumivu kwanza!
Mzigo huu ni mzito mno!imeingia kweli!.
Lile lironaldo shwaini kabisa,linapenda misiiifa!msss!hivi linastaafu lini tupumzike?!
Kumbe PSG kilaza? Maana Real alianzia kwake na kumalizia kwa PSG. Pia mwaka jana nusu fainali na Atletico Madrid.
Hakuna taratibu ya UCL nisiyoifahamu. Kwa PSG sawa Real alikuwa wa pili kwenye kundi. Je, ile ya nusu fainali msimu wa 2016/2017 ambapo Real Madrid anaanzia nyumbani kwake, kisha mechi ya pili inachezewa nyumbani kwa atletico? Na usiseme Atletico ni timu ndogo, msimu wa 2015/2016 walimenyana wao kwa wao fainali ya UVL, bila kusahau ile ya 2013/2014.Inaonekanwa hufahamu kama mechi za round yapili zanataratibu zake. Mshindi wa pili lazima aanzie nyumbani. Na kuhusu mechi za atletico kunatafauti kubwa sana baina yao na timu za nchi nyengine kwnye mashindano ya ulaya.
Hakuna taratibu ya UCL nisiyoifahamu. Kwa PSG sawa Real alikuwa wa pili kwenye kundi. Je, ile ya nusu fainali msimu wa 2016/2017 ambapo Real Madrid anaanzia nyumbani kwake, kisha mechi ya pili inachezewa nyumbani kwa atletico? Na usiseme Atletico ni timu ndogo, msimu wa 2015/2016 walimenyana wao kwa wao fainali ya UVL, bila kusahau ile ya 2013/2014.