Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Hapana. Mechi ya kwanza Turin ilikuwa draw ya bila magoli.
Leo Munich, The Old Lady kapigwa 4 kavu.
Huyo bibi naye ameshazeeka mambo ya malavu ajiudhulu tena asije akakumbana na ile timu ya Angola bule. Companero na Juve 2012 mnakaribishwa sana Santiago Benabeu kutushuhudia tunavyommaliza huyu ----- Bavarian naamini droo itatukutanisha naye tena.
verry disapinted
pole mzee mwenzangu!ndio maisha ya ushabiki yalivyo!
Teh teh teh yaani umenifanya nikumbuke nyimbo hizi Jamila analiaaa eti Juve imefungwa na hii kwa kauli yakopole mzee mwenzangu!ndio maisha ya ushabiki yalivyo!
You are welcome Spain,yaani ni bora hata ungesapoti Malaga hahahahaha,ni khe khe kheri ufe kwa kugongwa na gari la ghorofa liendalo ilala :rockon:!verry disapinted
umejuaje?nimebakiwa na Madrid tu kwenye kapu langu la kupoza machungu!nitafurahi sana kumuona Mourinho akipiga magoti kushangilia ubingwa wake wa tatu na timu tofauti!tumemis vituko vyake!
Teh teh teh yaani umenifanya nikumbuke nyimbo hizi Jamila analiaaa eti Juve imefungwa na hii kwa kauli yako
Miriam Makeba- Pole Mze - YouTube
Pole pole mzee,pole pole mzee,pole pole bibi kizee(Juve) kwa kufungwaaaaaa!
You are welcome Spain,yaani ni bora hata ungesapoti Malaga hahahahaha,ni khe khe kheri ufe kwa kugongwa na gari la ghorofa liendalo ilala :rockon:!
Nje ya Italia sijawahi kushabikia timu.
Pia ndani ya Italy ntazishabikia timu zoooote kasoro Inter Milan...
El fin
Juventus (3-5-1-1) – Antonio Conte Gianluigi Buffon; Andrea Barzagli, Leonardo
Bonucci, Giorgio Chiellini; Stephan Lichtsteiner,
Arturo Vidal, Andrea Pirlo, Paul Pogba, Kwadwo
Asamoah; Claudio Marchisio; Mirko Vučinić.
AC Milan (4-3-3) – Massimiliano Allegri Christian Abbiati; Ignazio Abate, Cristian Zapata,
Philippe Mexes, Kevin Constant; Riccardo Montolivo,
Massimo Ambrosini, Kevin-Prince Boateng;
Robinho, Giampaolo Pazzini, Stephan El Shaarawy.