Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
huko hamna penaltyHivi CR7 kutokufunga ni kwma league a SERIA A ni ngumu ama...sema naona seria A ni league moja imekaa kishamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ajazoea mazingira asee daa tumemganda hahahahaHivi CR7 kutokufunga ni kwma league a SERIA A ni ngumu ama...sema naona seria A ni league moja imekaa kishamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo dybala mbona wanamkalisha benchi sanaMacho yangu kwa magician dybala,huyu dogo ni hatari mno...mmaliziaji anasubiri kutengewa kama kawaida yake.
[emoji370] View attachment 855659Macho yangu kwa magician dybala,huyu dogo ni hatari mno...mmaliziaji anasubiri kutengewa kama kawaida yake.
Inabidi atafutiwe namba nyingine ili dogo aanze kikosi cha kwanzaNi kwasababu ya Ronaldo, Ronaldo anacheza nafasi ya Dybala
Inabidi atafutiwe namba nyingine ili dogo aanze kikosi cha kwanza
Hamna banah CR7 mpe haki yake yupo vizuri sema pia kinachomfanya mchezaji ang'ae ni teammates mfano alipokuwepo madrid alicheza na wachezaji wenye uwezo mkubwa sasa hapa juve naoan bado teammates wanashindwa kumchezesha.... Kwangu mimi Ronaldo ni mchezaji mzuri mwenye uthubutu, hivi umeshawahi kuwaza mess akihama timu ataweza kucheza kweli ukitaka kujua hilo muangalia mess akiwa na timu yake ya taifa Argentina huwa anapwaya sanaMimi nahisi Ronaldo ndie atafutiwe namba nyengine, Mana dogo yupo juu kiuwezo kuliko Ronaldo. CR7 Kazi yake kuvizia anasubiri Penalty pamoja na lose ball za kutemwa na kipa.
Hamna banah CR7 mpe haki yake yupo vizuri sema pia kinachomfanya mchezaji ang'ae ni teammates mfano alipokuwepo madrid alicheza na wachezaji wenye uwezo mkubwa sasa hapa juve naoan bado teammates wanashindwa kumchezesha.... Kwangu mimi Ronaldo ni mchezaji mzuri mwenye uthubutu, hivi umeshawahi kuwaza mess akihama timu ataweza kucheza kweli ukitaka kujua hilo muangalia mess akiwa na timu yake ya taifa Argentina huwa anapwaya sana
Karibu...Bwanä yule hana hata goli 1 maajabu