Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Pamoja cr7 kuwepo naona bado wanashinda kwa kubahatisha sana sijui kwanini sioni mbwembwe za Cr7,naoa amekuta leagu ya ajabu tu hata molari hana ya kucheza kwa kujituma sio kama alipokua laliga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi atafutiwe namba nyingine ili dogo aanze kikosi cha kwanza

Mimi nahisi Ronaldo ndie atafutiwe namba nyengine, Mana dogo yupo juu kiuwezo kuliko Ronaldo. CR7 Kazi yake kuvizia anasubiri Penalty pamoja na lose ball za kutemwa na kipa.
 
Mimi nahisi Ronaldo ndie atafutiwe namba nyengine, Mana dogo yupo juu kiuwezo kuliko Ronaldo. CR7 Kazi yake kuvizia anasubiri Penalty pamoja na lose ball za kutemwa na kipa.
Hamna banah CR7 mpe haki yake yupo vizuri sema pia kinachomfanya mchezaji ang'ae ni teammates mfano alipokuwepo madrid alicheza na wachezaji wenye uwezo mkubwa sasa hapa juve naoan bado teammates wanashindwa kumchezesha.... Kwangu mimi Ronaldo ni mchezaji mzuri mwenye uthubutu, hivi umeshawahi kuwaza mess akihama timu ataweza kucheza kweli ukitaka kujua hilo muangalia mess akiwa na timu yake ya taifa Argentina huwa anapwaya sana
 
Sasa kumbe umeufahamu uwezo halisia wa Ronaldo.

Kucheza timu bora duniani na kua weye ndie forward wao tegemeo utang'ara tu. Sisemi Ronaldo ni mbovu ila ninachopinga huo ubora munaompa. Real Madrid imemsaidia sana, bila ya Real asingeweza kabisa kufunga magoli 50 kwa msimu popote pale.
Dyabala na Costa Wana uwezo mbele ya Ronaldo, Ila tatizo linalowasumbua madogo majina maDogo bado hayajavuma vizuri.
Juventus wakaindelea kuwaweka Bench hao watu wawili Wataishia kuumbuka.
Tatizo Ronaldo ili aweze kung'ara Lazima atengenezewe mfumo maalum, Kama ilivokua Real au Man utd. Sasa madogo wao hawahitaji mfumo wao vovote wao wanakiwasha tu.
Sasa mpaka sasa hivi Kocha yupo buzy kumtengenezea mfumo Ronaldo ili apate kung'ara ndomana kule mbele kote unaona wanabadilishwa tu kila siku wanatafutwa watakaowza kufit nae.
 
Juve bhana. Wenyewe hata CR7 asipocheza wanakiwasha tu. Embu fikiria costa, dyabala, Bentancur na Benatia wote wapo nje alafu timu inashinda. Ila CR7 atakaa sawa tu.
 
1537109490618.gif
1537109503855.gif
1537109510371.gif
cr7 1st goal
 
Habari ya mjini baada ya dk 320 Cristiano Ronaldo anashinda kwenye serie A goli la kwanza na jezi ya juventus. Mechi imeisha 2-1 akiwa ametupia goli 2
 
Back
Top Bottom