Mara ya Mwisho Juve Uefa Kushinda Goli 5 kwa Big team ilikua Lini?atletico wamebebwa na VAR wakifika italia wanapigwa hata 5
Yaani hii ni juve mbovu kuliko misimu iliyopita chini ya Allegri. Huko Italy kwenyewe alipigwa tatu bila na Atalanta na kutolewa kwenye copa italy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo imezikwa rasmi.... Shida hakuna ushindani Serie A timu imebweteka ndio maana tokea christmas mpira mbovu sana wanacheza kibaya zaidi wanataka kumsajili na Icardi msimu ujao!! Yaani kwa mtindo huu wa kuunda monopoly serie A mashindano kma UEFA mtaendelea kuyasikia redioni tu.
Hahahaha naona una hasira na Ronaldo kuwakimbia hadi Madrid mmebaki yatima kabisa..... All in all shida ni ligi kukosa ushindani sidhani kma Ac milan na inter + Roma zikiwa top form kama juve angesuasua hivi. Hata spain Bila uwepo wa Atletico + Barcelona nyie Madrid msingekuwa serious kabisa ila changamoto za domestic league zinawapa incentive ya kuzoea mapambano ndio maana mkadominate UEFA.Acha visababu visivo na msingi. Juventus msimu huu ni ovyo kabisa, hata huko Serie A wanashinda ushindi wa kusuasua. Wamekula kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Atalanta majuzi tu.
Timu ina matatizo ya midfield na wanashindwa kulitatua wakaishia kutoa mamilioni kwa mchezaji ambae anasubiria Penalt tu uwanjani.
Ila alivyokuwa kwenu hakuwa Penaldo?? Tuwe wakweli tu pengo la Ronaldo bado linawatesa na itawachukua miaka kurudi kwenye ubora wenu kama ndio mnategemea hivo vitoto kina Asensio na Lucas!!Penaldo mkuu
Ila alivyokuwa kwenu hakuwa Penaldo?? Tuwe wakweli tu pengo la Ronaldo bado linawatesa na itawachukua miaka kurudi kwenye ubora wenu kama ndio mnategemea hivo vitoto kina Asensio na Lucas!!
Hahahaha naona una hasira na Ronaldo kuwakimbia hadi Madrid mmebaki yatima kabisa..... All in all shida ni ligi kukosa ushindani sidhani kma Ac milan na inter + Roma zikiwa top form kama juve angesuasua hivi. Hata spain Bila uwepo wa Atletico + Barcelona nyie Madrid msingekuwa serious kabisa ila changamoto za domestic league zinawapa incentive ya kuzoea mapambano ndio maana mkadominate UEFA.
Hii shida ipo France na Germany pia wachezaji wote wazuri wanarundikana Psg na Bayern ndio matokeo wameua ligi zao wenyewe.
Right track gani mkuu hivi kweli nyie ni wakupigwa na Girona bernabeau!! Yaani Ajax ndio wakuwakimbiza vile?? Ngoja hiyo El clasico ifike ndio utaelewa nachosema sahvi mkipigwa 10 ndio utakiri kuna shida tena kubwa sana.Acha kuropokwa, Real ipo kwenye right track. Ila hao Juventus ndio wanaoteseka
Right track gani mkuu hivi kweli nyie ni wakupigwa na Girona bernabeau!! Yaani Ajax ndio wakuwakimbiza vile?? Ngoja hiyo El clasico ifike ndio utaelewa nachosema sahvi mkipigwa 10 ndio utakiri kuna shida tena kubwa sana.
Kama ajax inakutoa jasho vile basi ukikutana na timu ''serious'' walau Spurs ama Roma ndio itakuwa kipimo sahihi na kujua shida kubwa iliyopo Real.Real Madrid tayari ameshatia mguu mmoja ndani ya Champion league Quarter final. Juventus washaelekea kuchinjwa halafu bado unataka kipi chengine?
Narejea tena mkuu iyo sio hoja, Ni hoja dhaifu inayopaliliwa na waingereza kwa kujaribu kuaminisha dunia kuwa wao ndio wana ligi Bora. Mana hoja hio huwezi kuikuta popote zaidi ya vyombo vya habari vya kiengereza tu. Hata huko La liga utasikia ni ligi ya timu mbili.
Sasa kama kuwa na ligi ya ushindani ndio nguzo kuu ya mafanikio ulaya, basi kwa tunavoaminishwa kuwa England ndio kwenye ligi bora mbona timu zao ni vilaza? Buyern, Juve na PSG wakiekewa timu yoyote yakiengereeza kwenye makweli wanaziangamiza.
Hata ukisikia Juventus, Buyern, PSG wametolewa mashindano ya Ulaya basi ujue wametolewa na Barca, Real au Atletico hakuna wengine.
Kama ajax inakutoa jasho vile basi ukikutana na timu ''serious'' walau Spurs ama Roma ndio itakuwa kipimo sahihi na kujua shida kubwa iliyopo Real.
Lini hyo mkuu man U kumfunga psg???Ligi bora SPAIN
Ligi maarufu UINGEREZA
Ligi ya wakulima FRANCE
Huyo PSG si juzi tu kapigwa goli 2 na Man u!! Hawafiki mbali hao sheikh
Naona umeiwekea Mdhamana Athletico ila nakupa pole maana atatoroka na jela utaingia wewe... Athletico ni wahuni fulani usiwaamini shauri yako ni kama Westhama tu wale.... Juve imefunzwaje Mpira wakati game waliitawala yote Hadi Griezzman aligeuka beki mkuuMkuu upo?? Naona leo Juve imefundishwa mpira wa ushindani sio yale mabonanza mliyozoea kucheza huko Italia sijui cagliari na chievo!! Poleni sana jaribuni tena bahati mwakani maana Huko Turin tegemea Simeone kupaki basi mwanzo mwisho.
Lini hyo mkuu man U kumfunga psg???
Naona maneno yako leo utayanywaHata hujakosea mie ni Team atletico since back then na kukuonyesha kuwa ligi bora hutengeneza timu bora za UEFA angalia timu za hispania kudominate UEFA kule Europa walibeba sevilla mara 3 mfululizo na Champions league walibeba madrid mara 3 mfululizo na yote ni sababu ligi yao iko competitive sana... sasa vitu kama hivi huwezi kuvikuta Italy maana ligi ya ndani hakuna ushindani umemalizwa na juve.
Unaposema atletico ana kimavi ur kidding right?? Mind you amechukua Europa na super cup kwa kuidungua Real timu ambayo juve mmeishindwa kwa recent UEFA matches sasa nani hapo ana kimavi juve au atletico?? Juve mara ya mwisho kubeba hata UEFA cup ilikuwa mwaka gani?? Bajeti ya atletico haifikii robo ya bajeti na gharama za usajili za juve ila wana uefa super cup 3 na Europa ligi 3 ndani ya decade hii then unasema wana kimavi??
Mie nlikuwa mshabiki sana wa Serie A enzi hizo Italia moto kuanzia Parma ya kina cannavaro mpaka Hellas verona ya Adrian mutu.... Hapo kuna Inter ya zamorano na AC milan ya kina Baggio moto usipime sio cku hizi timu moja tu mmeua mpira
Hapo unakuta msimu ujao Icardi,Under na Piatek wanahamia juve..... Narudia tena RIP Serie A na kwa tabia hii subirini kipigo kutoka atletico maana wao kila mechi spain ni competitive hivyo UEFA haiwashindi ila kazi kwenu msiozoea ushindani mtanyooshwa tu maana hakuna namna
Poleni sana