castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anadondoka dondoka tuuu uwanjani.De ligt juve. mliuziwa msuva kwenye gunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maoni gani na De ligt wa sasa hivi?umemuona mechi ya jana dhidi ya Atalanta?!Dogo kaanza kazi!🤗De ligt juve. mliuziwa msuva kwenye gunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu babu Sarri anampendea nini Khedira?Kwanini Rabiot anakaa benchi?hili babu linazingua sana upangaji wa timu.Weekend hii tunarudi mzigoni tena, Forza Juventus.
Naam,na hii ndio shughuli ya leoDyabala ameamua kufanya kazi sasa. Costa nae akipona vizuri itakua balaa tupu juventus.
Atleti leo wakilala lazima wamuote huyuDe ligt juve. mliuziwa msuva kwenye gunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lile zee livuta sigara linaondoa mzuka!😔Wadau mmepotea sana humu. Tunamwacha Gang Chomba unaupaisha uzi wake vizuri sana.