Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

# de campioni #forza juve #finoallafine
instajuve-20190421-0001.jpeg
jvlcsdsgn-20190421-0001.jpeg
 
Hamna timu hapa msimu huu,kuna wachezaji tuu basi.Hamna muunganiko tishio wa strikers,viungo ndo minazi mitupu,fullbacks chengaaa,sandro anarudisha mipira nyuma tuuu!!!!UCL hata makundi sijui kama tunatoboa.Nimesahau,kocha naye hamna kitu!!!
 
De ligt juve. mliuziwa msuva kwenye gunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii timu kweli ni ya hovyo tu ..juzi Napoli kawatoa jasho kweli kweli..

Munaongoza tatu then zinarudishwa munashinda kwa goli la kujifunga ..yani ile gemu draw..mukikutana na Spurs au Liverpool mapema tu kwenye uefa hamna chenu..
 
Huyu Ronaldo aendelee kukaa Bench tu, Combination ya Dyabala na Higuain na Costa akiwa pemebeni ni noma sana.
 
Dyabala ameamua kufanya kazi sasa. Costa nae akipona vizuri itakua balaa tupu juventus.
 
De ligt juve. mliuziwa msuva kwenye gunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atleti leo wakilala lazima wamuote huyu

beast,kawanyima magoli sana
 
Hongereni kwa kuua mpira wa Italia. League haina ushindani tena, I hope conte awapokonye kombe ili mizanis ikae vzuri
 
Wadau mmepotea sana humu. Tunamwacha Gang Chomba unaupaisha uzi wake vizuri sana.
 
Back
Top Bottom