Mimi namuamini sana Mzee wetu LUCIANO MOGGI. Yeye ndio aliyewaambia waachane na kumsajili Higuain na Llorente 7bu hao sio Juventus type. yy ametoa maoni vucinic auzwe then aje Diamant pamoja na dogo domenico berard kutoka sassuolo. Mm siungani mkono na hawa wachezaji kutoka spain, yan sio Juventus type kabisa. but ngoja tuone.
Twende na statistics kidogo, Allesandro Diamanti ana assists 7 in 32 apprnc msimu huu, hata Arturo Vidal wetu kamzidi (8 asst in 29 apprn c) though tunamwita mkabaji. Is he a type of midfield atakayekua anavunja ukuta wa wapinzani kwa pass murua za magoli?
By the way jamaa is already 30, ukimuweka huyo na Vidal, ntamchagua Arturo usiku na mchana.
Tunahitaji zaidi ya Diamanti, mtu kama Marek Hamsik
Sidhani kama Juve wanahitaji mchezaji kama Diamanti,Juve wana tatizo la washambuliaji wengi wao sio wamaliziaji wazuri so altenative ni kupata viungo ambao ni wafungaji kama Vidal,nafikiri mtu ambaye atawafaa sana ni Hamsik.Huyu ana consistency tangu ametua Napoli ni mfungaji na anatengeneza magoli na umri wake bado ni mdogo.Diammanti umri umekwenda kumbuka Juventus wanatengeneza timu mpya so sidhani kama atawafaaAge is just a namba...
Di Natale mfalme wa Friuli katupia nyavuni goli 100 katika misimu minne ilopita.
Messi pmj na watu waliomzunguka katupia kamba 160, Ronaldo kamba 141.
Je unamjuwa anayemchezesha Di Natale?
Je Di Natale apatiwe nafasi pale mbele Barca unashani atafunga mangapi?
So mpe nafasii Diamanti
Sidhani kama Juve wanahitaji mchezaji kama Diamanti,Juve wana tatizo la washambuliaji wengi wao sio wamaliziaji wazuri so altenative ni kupata viungo ambao ni wafungaji kama Vidal,nafikiri mtu ambaye atawafaa sana ni Hamsik.Huyu ana consistency tangu ametua Napoli ni mfungaji na anatengeneza magoli na umri wake bado ni mdogo.Diammanti umri umekwenda kumbuka Juventus wanatengeneza timu mpya so sidhani kama atawafaa
Tumechukuwa ubingwa ... Tunamuhitaji yule kijana wa fiorentina
Wafuasi wa Italy embu tujadili Juventus kweli inamhitaji mtu kama Higuain na Lloriente.? Maana timu yangu inazidi kuniumiza kichwa kipindi hiki cha usajili. Natambua kua Anelka pamoja na Bendtener wao mkataba wao ndio unaisha so msimu ujao hatunao tena. Je kweli hawa watu ni wapiganaji au ndio yale ya mwaka ule tunawauza wakina Rafaele paladino, sissoko, molinalo, gygela then tunamsajili Diego na Felipe Melo wanakuja kuleta nuksi ya msimu. Gang Choma unakaribishwa kutoa mchango wako.
Huyo Lloriente mwenyewe mbona amefunga goli 5 tu msimu mzima. Ama kweli juve inatupa presha na wachezaji wao wa cheap. Higuain ni mzuri sema pale madrid kuna mafundi wengi. Kila dakika wakina Ronaldo, ozil, Di maria walikua wanamlisha Higuain. But kiuhalisia akija Juve anaweza akaboronga kupita maelezo. Mimi vote yangu Qugliarella inabidi abaki akisaidiana na Master JOVETIC.
Juve wanaleta narenare kumsajili Jovetic.Fiorentina wanataka cash.Marotta anabangaiza awape Maronne na hela.Arsenal wameingilia na wanaelekea kumsajili kwani wako tayari kwa cash!wazee nimechoshwa na ubabaishaji wa Marotta.hawa watu watamchosha kichwa Conte kwa kutaka makubwa huku hawataki kutoa pesa.tukimkosa Jovetic nakwenda Turin kumtafuta Marotta nimbinye masaburi yake ya kizee hadi apate akili she*zi zake!
Mkuu hawa wapuuzi wanaboa kweli, watapiga porojoo wee mara tunamtaka sijui nani halafu mwisho wa siku wanatuletea kina Anelka
leo nimesoma wanamtaka Chicharito kama watamkosa Higuain, yaan masaburi masaburi matupu