Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
juzi Real Madrid walisema hawajapokea ofa yoyote kumuhusu Higuain!nakuambia ukweli mkuu natazama usajili wa Juve msimu huu wakizingua natafuta timu ya kushabikia kwa muda hadi Marotta atoke pale!hata kwa unafiki ntashabikia timu nyingine tu!ngoja tuone.
Hutaweza Mkuu, kama Juve ipo moyoni itabaki tu moyoni.
Ila jamaa wanaboa kwa kweli, hizi blah blah zao zinaweza hata kumfanya Conte aangalie ustaarabu mwingine.