Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Mkuu me naomba nimtetee Conte, anarundikiwa magalasa kibao, wengine hata hawahitaji na bado we expect him kumanage the squad perfectly na kila mchezaji awe na furaha clabun, kocha hana namna inabidi tu sometimes afanye rotation, no way out!
Tazama ishu ya Milan...
Anaefuatilia usajili ni Galiani.
Alegri yeye anasimamia mazoezi tu.
ukija kocha na tashtiti zako za kutaka kutuletea wanariadha unapigwa stop na kuambiwa wazi kabisa Milan hawajawahi kutumia mawinga.
Na kama msimu uliopita Galiani aliwajaza wachezaji wengi wa bei rahisi ambao aliamini wataweza kupigana kufa na kupona hata kupelekea kupata kufudhu tu UCL na hatimae akafanikisha hilo.
Constant, De Jong, Montolivo, Zapata, Niang, wamepambana sana na kupelekea Milan kutoka from Zero to Hero.
Pia kwa sasa Milan wanatazama sana timu yao ya watoto.
Tofauti na Juve.
Mmeifungia sana macho timu yenu ya watoto.