juzi Real Madrid walisema hawajapokea ofa yoyote kumuhusu Higuain!nakuambia ukweli mkuu natazama usajili wa Juve msimu huu wakizingua natafuta timu ya kushabikia kwa muda hadi Marotta atoke pale!hata kwa unafiki ntashabikia timu nyingine tu!ngoja tuone.
Italian side Napoli have agreed a deal for Bayern Munich striker Mario Gomez, 27.
Fiorentina will not accept any offer less than £25m from Juventus for Montenegro striker Stevan Jovetic, 23.
Sijui kama tuko serious na isajiri, Higuain kasema wazi kwamba jamaa hawako serious na uhamisho wake, Jovetic ndio huyo jamaa bado wana mbwelambwela.
Hadi Napoli wanatuzidi akili?
Tunahitaji usajili wa directors kabla ya wachezaji.this is very very important.
Usajili huu presha inapanda presha inashuka!
Me hata presha sipati ila hasira na hawa viongozi wasiokua na maamuzi rasmi, saa hzi wamemgeukia Tevez kama watamkosa Higuain, na hiyo itategemeana na kama Cty hawatampa mkataba mpya.
Sasa huu si usengerema huu!!!
na arsenal wamezungumza na Higuain pia.22m pounds ni pesa nyingi kwa juve.halafu baadae utasikia wamebeba Aquilani,Kolo Toure,Benny Mcarthy kwa paundi 40m.stupid Marotta!
na arsenal wamezungumza na Higuain pia.22m pounds ni pesa nyingi kwa juve.halafu baadae utasikia wamebeba Aquilani,Kolo Toure,Benny Mcarthy kwa paundi 40m.stupid Marotta!
Stupid indeed! Jovetic naye ishakua ishu coz team kama Chelsea zinamfukuzia na Arsenal wamo, pesa ya kumnunua Cavanni hatuwezi sasa hata huyu Mario Gomez wa £7 atushinde?
Bado mapema sana...
Tunao watoto palepale Utaly ambao wakipewa nafasi wanaweza kuwa kama El-shaarawy.
So tusikimbizane na hao wenzetu wenye mikopo isio na Riba wala kikomo cha kurudisha...
Mzee mwenzangu hali yetu mbaya, sijui itachukua muda gani Serie A kuzalisha El-Shaarawy mwingine.
Unajua kuwa kwenye kupanga makundi ya UCL for 2013/2014 hakuna hata team moja ya Serie A itakayokua kwenye pot A? (European ranking coefficient (based on the last five years' results for club and other teams from the same country)
pot B upo wewe peke yako, sisi tuko pot C, yaan hata Porto na Benfica ziko juu yetu currently!
Muda ni kitu ambacho hatuna kwa sasa!
Wapo akina Andrea Poli akina alesio Cerci, akina Diamanti and the like...
Pia kuna vipaji vya bei poa toka America ya kusini.
Sie mbona tulienda Serie B na kumpata Ricardo Saponara ambaye ni promising young star?
tutampa nafasi msimu ujao na ataweza tu.
kutoka Trezeguet hadi Marrone kaka inahitaji moyo kukubali kuwa tumekuwa na sie kama Sunderland na Ajaccio!aibu!
Wapo watu bana...
Fiorentina kuna kiumbe anaitwa Quadrado...
Then Udinese kuna dogo mmoja anacheza na Di Natale pale front ni sumu ile mbaya.
Unataka viungo nenda Napoli utakutana na akina Behrami, Ghohan Inler, Na Marek...
Bado muda upo na bado vipaji vipo.
Tazama Milan walienda mchukua Constant kwa ajili ya kuziba pengo la Seedorf lakini alipojaribiwa chini kushoto amefit kiasi kwamba Milan hawana habari tena na kumtafuta mtu wa mbavu ya kushoto.
Pia tazama Galiani alipocheza mchezo mchafu na kufanikiwa kumpata Boateng.
au walivyochungulia mpaka wakampata Zapata.
so ni umakini tu na kuwaamini mnaowapa majukumu.
Sio nyie mara leo Quagriarella na Matri, mara kesho Vucinic na Giovinco...
Chagueni watu wa kuanza na wengine wawe Sub.
Ni kama sisi na Balotelli wetu.

hilo suala la upangaji timu nakubaliana nawe Conte anakosea.lakini usajili hata huo unaozungumzia unatupa shida.Jovetic hadi sasa bad😵gbonna mwenyewe tunambwela tu.kwa suala la usajili linaniudhi mno!