Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Leo tunaua Napoli.I'm confident,i'm sure,i'm proud and peaceful!I AM A JUVENTINO!Wapi Mourinho na juventino wengine tuanze sherehe mapeeema kabisa!
Nipo hapa kwa hamu zote, nishakula korosho kiroba kizima, mihogo kama minne, miwa ya kilombero 6, mtindi lita 3, maparachichi 10, nikamalizia na ugali wa muhogo na sato wawili.
Saa hizi niko na kisichana na embassy mezani, namsubiri mchumba Napoli nimpe vyake!
Forza Ragazzi
Last edited by a moderator: