Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Nimechokaaa

Inabidi title ya zamani ya hii thread irudishwe.

_71677825_wesleysneijder1.jpg
 
Kuna hatari timu za Italy zikatolewa zote matumaini yamebaki kwa Rosoneri
 
Inabidi title ya zamani ya hii thread irudishwe.

_71677825_wesleysneijder1.jpg

Doh!!

Ukiingia uwanjani kutafuta draw matokeo yake huwa hayana tofauti na haya.

Tunaenda Europa sasa, na najua Conte atakuja kujitetea uwanja mbovu
 
Doh!!

Ukiingia uwanjani kutafuta draw matokeo yake huwa hayana tofauti na haya.

Tunaenda Europa sasa, na najua Conte atakuja kujitetea uwanja mbovu

Juve were doing time wasting kumbe.............

_71677826_40b1f520-2d6b-4462-96f3-6d48fae4f06b.jpg
 
Juve were doing time wasting kumbe.............

_71677826_40b1f520-2d6b-4462-96f3-6d48fae4f06b.jpg

Dk ya 80 watu wanaenda kwenye kibendera kupoteza muda.

Hatukustahili kushinda hii match because we didn't do enough to win it
 
Huyu alitufaa sana Old Traford ,na nina wasiwasi huenda Man United akapangwa dhidi ya Gala next round

Gala wapo vizuri and Man Utd anaweza akaenda na maji hivi hivi.
 
Dk ya 80 watu wanaenda kwenye kibendera kupoteza muda.

Hatukustahili kushinda hii match because we didn't do enough to win it

Unfortunately, the Instabul snow didn't save Juventus as the Belgrade fog saved AC Milan.

_70693697_pa-17992848.jpg

r

_70855056_pa-17992844.jpg

290-10Oxjy.AuSt.55.jpeg
 
This should be a lesson to Juve.Mechi hii sijaitazama lakini nilijua itakuwa ngumu.Juve hakutolewa na mechi hii. Juve katolewa na ile draw ya Fc Copenhagen na Galatasaray mechi ya kwanza.Hii ndio kitu timu ya Conte inatakiwa kujifunza,kwamba kila mechi ni muhimu.Wadau tatizo la Juve ya Conte linaendelea.kushindwa kuperform mechi ndogo.Kuanza mashindano kwa kusuasuap.Stupid Conte!UEFA ndogo inatufaa tukajifunze kung'ang'aniwa huko!
 
Mashindano ya UEFA yanatufaa sana.mechi ni nyingi timu ndogo ndogo zinazojua "kufia uwanjani" na kumng'ang'ania mtu.This is a challenge Juve need ili kurudi kwenye staili ya soka ya ulaya.Kujua tu una jina kubwa ulaya haitoshi,you need to prove that na unahitaji wachezaji na kocha mwenye falsafa na uwezo huo na challenge ya aina hiyo!huko UEFA watalitolea jasho jina la Juve.mwakani watarudi na akili zao champions league.poor italians!i'm becoming boored with their football philosophy which give them negative approach to just easy games!Hao Galatasaray hamna kitu,ni ujinga wa wataliano tu umewapitisha.wanaenda kufa round ya pili.believe me.hii ilikuwa nafasi ya Juve.
 
Back
Top Bottom